Nchi 30 duniani zenye watu wenye IQ ndogo

Nchi 30 duniani zenye watu wenye IQ ndogo

WaTanzania tuna IQ kubwa
Shida tupo nyuma sana

Elimu na Science na Technology
Ziboreshwe za kufanya watu wajitegemee
Tupate wataalamu
Watu wengi wanasoma vitu ambavyo sio vya ujuzi wanaouwezea

Mfano Mtu anasoma Aviation baadaye anaanzisha kampuni yake binafsi ya kutengeneza ndege

Na kingine tupunguze kutegemea nchi za jirani Bali tujitegemee
Kuboresha technology yetu binafsi
 
Msubiri kuambiwa TZ ina IQ kubwa kuliko USA😅
kama walivyotudanganya Kuhus USA Na TZ kwenye uchumi na Treni ya SGR
 
Unaona eh
Tanzania huandaa sherehe na makongamano kwa pesa ndefu sana.Lakini linapokuja suala la kutekeleza miradi ya miundombinu ihusuyo maisha yetu ya kila siku tunahitaji wahisani na wafadhili
 
WaTanzania tuna IQ kubwa
Shida tupo nyuma sana

Elimu na Science na Technology
Ziboreshwe za kufanya watu wajitegemee
Tupate wataalamu
Watu wengi wanasoma vitu ambavyo sio vya ujuzi wanaouwezea

Mfano Mtu anasoma Aviation baadaye anaanzisha kampuni yake binafsi ya kutengeneza ndege

Na kingine tupunguze kutegemea nchi za jirani Bali tujitegemee
Kuboresha technology yetu binafsi
Do you think a country can become independent in everything and yet be successful??
 
Umeambiwa zinatupeleka bayana wapi ? Nimekuambia na sis hatuendani navyo ,miaka yote tutakuwa nyuma yao ni milele unless otherwise tuwe na vyetu unique mpaka viwafanye wao watamani.
Wazungu zamani walivutiwa na waafrika kutokana na vitu vyao ambavyo kwa sasa tumeziacha na kukimbilia kufanana na wazungu.. Kiufupi kwa sasa hatuna tunachoweza kumlingishia mzungu ,anatawala maana hata elimu yetu kaandika yeye.
Ukiwa na akili regardless the current circumstances na ukiwa na uwezo wa ubunifu hakuna kinachokuzuia creativeness yako, tatizo kubwa ni uwezo wa kiakili.
 
Ukiwa na akili regardless the current circumstances na ukiwa na uwezo wa ubunifu hakuna kinachokuzuia creativeness yako, tatizo kubwa ni uwezo wa kiakili.
Sasa mbona tunashindwa ,compare ubunifu wa zamani na sasa ,tuna nn cha kupelekea wazungu ? Labda madini
 
Ila kuna video nimeona mzungu mmoja anasema hivi vipimo vya IQ kulingana na nchi haviko fair kwa sababu inaonekana hawakuwahi kuja kupima watu IQ huku Africa isipokuwa ni makadirio yao tu
No intensive research was done
 
Back
Top Bottom