Mangala boi
Member
- Oct 18, 2025
- 34
- 104
Ruangwa tena!Nchemba yupo Ruangwa anachapa kazi
GoodNi mwenzetu humu JF, tunaomba amjibu mleta mada!
As simple as that.
Unataka teuzi?Mheshimiwa nakusalimia βπ»π
Britanicca
Anasubiri nini?Bado
Lini kaomba kuteuliwaUnataka teuzi?
Ok utakuwa afisa mtendaji kata ya chalinze.
Nasikia chadema wamepewa, hivi sasa kamati kuu hawamataki Heche. Wewe hujapata?Hana Pesa ya kunipa
Utakua una matatizo ya akili mzee sio bure jamaa kila kukicha anashauri kodi ipande kwenye bidhaa magari yanapanda 100% harafu wewe unakuja na nyuzi zako za kutafuta vyeo.It's a good thing kuwakumbuka members wetu humu, na kuwasalimia, pia tatawakumbusha, how active contributors they were, when they were nobody's compared now that they are somebody's big shots in the state, hawachangii tena humu, tuwakumbushe mpanda ngazi.
Mimi mwenzenu namkubali sana huyu jamaa na humu nilieleza https://www.jamiiforums.com/threads...can-make-the-best-president-nimeguswa.860192/
P
Alisikika waziri mmojaRuangwa tena!
"*Β£β¬Β₯|β’`~Β£Β₯Ο^{} yhwt.Ni kweli nakufa
Ungekuwa utani ningepost chit chat
March,2026.Lini kaomba kuteuliwa
Wallikosea sana kumwondoa huyu, Biteko yupo vizuri..huenda Doto Biteko anarudi hivi karibuni.
Kuna wanyama wakiumwa njaa hula watoto waoHawawezi kuwa wenzake halafu wamposion mwanzao.
Bado mnaamini watu wataamini uzushi kuhusu Heche?Nasikia chadema wamepewa, hivi sasa kamati kuu hawamataki Heche. Wewe hujapata?
Wallikosea sana kumwondoa huyu, Biteko yupo vizuri
Bado mnaamini watu wataamini uzushi kuhusu HecheNasikia chadema wamepewa, hivi sasa kamati kuu hawamataki Heche. Wewe hujapata?
Ni kweli hawezi kuisafisha ila angeweza kuisaidia mahali..Ccm iko upande mbaya wa historia.
..hakuna anayeweza kuinasua Ccm kutoka ktk udhalimu ilioufanya OCT 29.
..Biteko hawezi kuisafisha Ccm.
Daah πKang'ata shuka au
Vipi Waziri Mkuu Mstaafu Kassim majaliwa Kassim yuko salama?Mheshimiwa nakusalimia βπ»π
Britanicca