Nchemba: Wahisani wamerejesha misaada

Nchemba: Wahisani wamerejesha misaada

Chadema wameacha kupokea msaada kutoka chama cha siasa cha kikristo cha Ujerumani?

Wewe kibibi cha magamba hueleweki...hapa mada inazungumzia escrow na wahisani walivyo sitisha misaada...badala ujikite kwenye mada, wewe unaongelea chadema ama kweli chadema ni kama maji usipoyanywa basi utayaoga dah...wewe kutwa kucha unaiwaza chadema dah...ni hatari
 
Naona una ufinyu wa uelewa, pata darsa dogo:

Chama kinachoiongoza Serikali ya Ujerumani kinaitwa CDU (nipe kirefu chake) Serikali hiyo hiyo ya Ujerumani imesitisha msaada wake wa kuchangia bajeti ya Tanzania, sasa mimi nauliza, Jee, hicho chama cha Kikristo ambacho ni chama rafiki na chadema na hutoa misaada ya aina mbalimbali kwa chadema, na huko kimesitisha misaada?

Fikiri, kabla hujakurupuka. Kila kitu hamna akaili ya kuelewa mpaka mfundishwe kama chekechea? Mnasikitisha sana uelewa wenu.
 
Naona una ufinyi wa uelewa, pata darsa dogo:

Acha kelele wewe std 4
 
= wafadhili

Hivi hujuwi kuwa hata Serikali ya Ujerumani inayoongozwa na chama hicho hicho cha Kikristo inachangia bajeti ya Tanzania? kafanye homework yako.

Serikali ya Ujerumani inaongozwa na chama cha kikristo? Then inachangia bajeti ya Tanzania? Fafanua please hapa si mahali pa homework, tueleweshane tu.
 
Naam Serikali ya Ujerumani inaongozwa na chama cha kidemokrasia cha muungano wa Wakristo, CDU, Christian Democratic Union.
 
Serikali ya Ujerumani inaongozwa na chama cha kikristo? Then inachangia bajeti ya Tanzania? Fafanua please hapa si mahali pa homework, tueleweshane tu.

Sio afafanue ALIPANUE.........ili tumuelewe mkuu
 
Huwa narudia neno mara mbili kwa wife wangu tuu..sorry for that
 
attachment.php
 
Mafisadi hawakosi la kujitetea....mshirika gani huyo wa maebdeleo ameyasema hayo....kiasi gani tumerejeshewa?
 
Back
Top Bottom