Nchemba Kupata aibu kesho Musoma Mjini

Nchemba Kupata aibu kesho Musoma Mjini

Lai Otieno

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
311
Reaction score
90
Mugulu Nchemba anajisumbuwa tu kuja Musoma Mjini hawezi kujaza uwanja wa Mkendo ushauri wangu kwake na viongozi wa ccm waende stendi ya Nyasho watapata aibu uwanja wa Mkendo anye uwezo wakujaza ni Mhe (MB) Vincent J Nyerere tu na Viongozi wa Chadema tu au ulize wazir mkuu Pinda pamoja na katibu wake Kinana.
 
Huyu. Nchemba anapima kina cha bahari kwa kutumia ulimi !!!? Haya shauri yake.
 
Namkubali Mwigulu kwa juhudi zake za kukitumikia chama chake lakin kwa kuwa sasa ni Naibu Waziri nadhan ni vyema kwake sasa kudeal zaidi na masuala ya kiserikal,na kwa kuwa kesho ni jtatu nilitegemea awe ofisini.
 
Walimu
 
Walimu mishahara midogo
 
Karibu sana mwigulu chemba, achana na hawa vijana wa mbunge kilaza wa cdm hana lolote, Hana lolote hana chochote alichowafanyia watu wa musoma
 
Aaaaaaaaiiii tena!@! Arusha haendi kampeni Sombetini?
 
CAG alisema serikali iko hoi, waziri wa hazina naye kathibitisha, sa kwanini jamaa asitulie ofisini na wenzake waone namna ya kuondoa ukata huo.
 
Namkubali Mwigulu kwa juhudi zake za kukitumikia chama chake lakin kwa kuwa sasa ni Naibu Waziri nadhan ni vyema kwake sasa kudeal zaidi na masuala ya kiserikal,na kwa kuwa kesho ni jtatu nilitegemea awe ofisini.
Kweli kabisa. Mwigulu abaki ofisini, katibu mkuu Kinana aende kwenye kampeni.
 
Nafikiri ni wakati wa kulipa mawaziri ambao wana vyeo ndani ya ccm kwa per day.yaani kwenye payslip kuwe na backup ya mahudhurio.
 
Back
Top Bottom