Dr Shekilango
Senior Member
- Dec 30, 2013
- 192
- 120
Chama hiki kiko kimya sana tangu uchaguzi wa October mwaka jana uliyo wachagua katibu mkuu na naibu katibu mkuu bara, pamoja na Kitengo cha Vijana( KV) kupata viongozi wake.
Lakini kwa taarifa zilizopo zinasema chama hicho kikongwe cha upinzani Nchini kiko hatarini kupoteza ushawashi wake Nchini baada ya viongozi kuanza kuuza Mali za chama hicho.
Katika taarifa yake ya vyombo vya Bwana Sungura ambaye ni mwanachama wa NCCR alisema Mbatia ameanza kuuza mashamba na nyumba za chama.
Huku ndani ya chama hicho yakiwepo makundi mawili, Mosi Sungura Movement (Wahafidhina) likilatibiwa na viongozi kadhaa kutoka ndani ya Chama hasa wale makamishina wa mikoa.
Kundi lingine ni la Mbatia na genge lake pia na Viongozi kutoka KV Genge la Mbatia linaundwa na Katibu mkuu Danda Juju, Naibu katibu mkuu Elizabeth Muhagama, Nicolas J Clinton M /M/kiti KV, Khamis Ambari kutoka Zanzibar, Lucas Kamwavah na viongozi wengine makao makuu ya NCCR.
Bwana Sungura anasema Mbatia aondoke ndani ya chama hama atafungua kesi mahakamani kuweka zuio la kuuzwa kwa Mali za chama.