NCCR Kuizima CCM na Chadema 2015

nimesema kuwatoa ccm pamoja na nyie magaidi

Hivi wewe most stupid creature on the World ukiambiwa uthibitishe huo ugaidi utaweza. Please mods uwe unachuja hizi threads kwani ni kweli hili ni jukwaa huru lakini uhuru bila nidhamu ni fujo.
 
Kama kuna chama kimejipanga kimkakati ni nccr mageuzi kinaendesha siasa za kistaarabu na kiungwana na si siasa za matusi kebehi na kujiona. Kina sera zinazoeleweka na si kama ccm au chadema ambao hata kwenye bajeti iliopita imeprove kuwa chadema hawana sera mbadala bali kazi yao kulalamika hivyo hawana sera mbadala kwa taifa ivo kuwa sawa na ccm. Kwa msingi huo nccr mageuzi tunaona hakuna wa kuzuia kuichukua nchi hii 2015.

acha kupaka watu mafuta kwa mgongo wa chupa kauli hizo hikisaidii nccr bali unakiua
 
kama kuna chama kimejipanga kimkakati ni nccr mageuzi kinaendesha siasa za kistaarabu na kiungwana na si siasa za matusi kebehi na kujiona. Kina sera zinazoeleweka na si kama ccm au chadema ambao hata kwenye bajeti iliopita imeprove kuwa chadema hawana sera mbadala bali kazi yao kulalamika hivyo hawana sera mbadala kwa taifa ivo kuwa sawa na ccm. Kwa msingi huo nccr mageuzi tunaona hakuna wa kuzuia kuichukua nchi hii 2015.

uraisi wa viti maalumu au?
 
Mkuu!

Kwa heshima na taadhima zote hebu itendee haki dhamira yako, vaa akili yako halisi kisha sema ulipo ugaidi wa chadema.

Nia ni kuitoa CCM madarakani au kupambana na CHADEMA isiyo kuwa madarakani? Put sense in your mind and fight the true enemy.

Mtoi una muda wa kubishana na hawa wa buku saba? Angalia joining date tu, unaachana nao, mtu anayeisifia NCCR this time, lazima atakuwa ametumwa na Nape au Mwigulu....waepuke kama unavyoiepuka CCM....
 
Back
Top Bottom