Mbona mimi ni jobless tu na jina nimeliona kwenye usimamizi wa maudhuiNdio hivyo majina ya sensa yametoka lakini nafasi zilizorudi ni Karani wa sensa na Afisa Tehama tu,
Na baadhi ya maeneo ndio Kuna wasimamizi wa maudhui.
Kumbe hizi nafasi za usimamizi wa maudhui (content supervisor) wamewekewa walimu wakuu!
Kwanini Toka awali hiki kipengele msikitoe?
Kumbe tayari mna watu wenu?
Hii sio haki na kama vipi wale waliomba usimamizi wa maudhui basi wapeni ukarani kuliko kuwachinjilia mbali halafu sensa ijayo muwe wazi kabisa kuweka nafasi zenu za kazi, zile ambazo mna watu wenu basi msiweke option ya kuomba kwenye mfumo.
Inasikitisha sana.
Sensa ijayo tutakuwa makini in sha Allah, kama ulivyopendekezaNdio hivyo majina ya sensa yametoka lakini nafasi zilizorudi ni Karani wa sensa na Afisa Tehama tu,
Na baadhi ya maeneo ndio Kuna wasimamizi wa maudhui.
Kumbe hizi nafasi za usimamizi wa maudhui (content supervisor) wamewekewa walimu wakuu!
Kwanini Toka awali hiki kipengele msikitoe?
Kumbe tayari mna watu wenu?
Hii sio haki na kama vipi wale waliomba usimamizi wa maudhui basi wapeni ukarani kuliko kuwachinjilia mbali halafu sensa ijayo muwe wazi kabisa kuweka nafasi zenu za kazi, zile ambazo mna watu wenu basi msiweke option ya kuomba kwenye mfumo.
Inasikitisha sana.
Unatakiwa kujua kata yako Inahtaji maafisa maudhui wangapi kabla mtu hajajithibitishia kupatPole sana
Kuliona sio shida linaweza kukatwa pia, bado interview kumbuka
Yaani umeipata hio nafasi hata kabla ya InterviewMimi sio Mwalimu mkuu,Ila nimepata msimamizi wa maudhui
Mkuu ninashida ya soft copy ya hiki ktabuUnatakiwa kujua kata yako Inahtaji maafisa maudhui wangapi kabla mtu hajajithibitishia kupatView attachment 2295033
Mimi nlikuwa nambishia mtu akanitumia hapo TU maana niliomba maudhui na kwetu watakaosaili watu wapo watano n kuwa tumekatwa kimkakati maana vijiji vipo vinneBoss nitumie hiki kitabu njoo pm please
Nimeshakupata ninacho sasa hiviMimi nlikuwa nambishia mtu akanitumia hapo TU maana niliomba maudhui na kwetu watakaosaili watu wapo watano n kuwa tumekatwa kimkakati maana vijiji vipo vinne
Mwenye majina ya morogoro mjini ayatume basiNdio hivyo majina ya sensa yametoka lakini nafasi zilizorudi ni Karani wa sensa na Afisa Tehama tu,
Na baadhi ya maeneo ndio Kuna wasimamizi wa maudhui.
Kumbe hizi nafasi za usimamizi wa maudhui (content supervisor) wamewekewa walimu wakuu!
Kwanini Toka awali hiki kipengele msikitoe?
Kumbe tayari mna watu wenu?
Hii sio haki na kama vipi wale waliomba usimamizi wa maudhui basi wapeni ukarani kuliko kuwachinjilia mbali halafu sensa ijayo muwe wazi kabisa kuweka nafasi zenu za kazi, zile ambazo mna watu wenu basi msiweke option ya kuomba kwenye mfumo.
Inasikitisha sana.
Afisa watendaji ni wasenge wasiwepo kwenye interview wakiwepo hampatiPole sana