Nbc wapata md mpya

Nbc wapata md mpya

Gefu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
6,929
Reaction score
2,567
Wana jf kwa habari nilizo zipata toka kwa wadau ni kuwa NBC wamepata MD mpya anaitwa Mizinga Melu toka Zambia.

Huyu mama anatoka Standard Chartered Bank Zambia ambako alikuwa Managing Director tangu 2007.Ana uzoefu mkubwa ikiwa pamoja na kuwa Global Head of Development Organisations in the United Kingdom na pia alikuwa Africa Regional Head of Financial Institutions in Kenya na South Africa ambako alihusika kuandaa mikakati ya biashara ya Standard Chartered kwa Africa.

Pia alikuwa Head of Treasury wa Standard Chartered Bank Tanzania kati ya mwaka 2000 na 2003.

Elimu yake;

Mizinga ana Masters in Business Administration (MBA) toka Henley Management College (UK) na ni Associate of the Chartered Institute of Bankers (A.C.I.B).

My take, wabongo tunaelekea kuchemsha kuongoza taasisi za fedha. labda huyu ataiboresha hii benki

Ni hao hao tu weusi tuna laana tu!
 
Vipi yule alikuwa 3exim, au yule wa womens bank? Hawakuomba?:censored:
 
Dah ina maana Tz hawawezi? Maana naye Bade nay Barclays ilimshinda!! Wizi kwa wingi hadi ikaanza kuyumba!! Akawekwa beki!! Sasa anasubiri kumrithi Kitilya wa TRA? Ataiweza? TRA ya Tz wajanza kuliko benki!!!
 
Hivi Mafuru si alirejeshwa kazini (baada ya kusafishwa!)? Sasa imekuwaje tena, ama ame resign?
 
SIku moja utasikia kaibukia kwenye Benki nyingine kama MD
 
Hivi Mafuru si alirejeshwa kazini (baada ya kusafishwa!)? Sasa imekuwaje tena, ama ame resign?

Yes, Lawrence Mafuru aliamua kuachia ngazi yeye mwenyewe miezi kadhaa baada ya kuwa amerudishwa kazini.

Tiba
 
  • Thanks
Reactions: SMU

Jamaa alishasepa kitambo..
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Yes, Lawrence Mafuru aliamua kuachia ngazi yeye mwenyewe miezi kadhaa baada ya kuwa amerudishwa kazini.

Tiba
Au jamaa aliona kaharibu,kwanini aachei ngazi baada ya kurudishwa ?
 
  • Thanks
Reactions: SMU
angalia ratio ya MD's wa mabenki makubwa ikoje, napia jamaa inawezekana kadumu kwa kulinda interest za watu hili linawezekana pia..

Hivyo ndivyo "MNCs" zinavyo-operate duniani, MDs wanapenda kuwatoa nchi nyingine ili kupunguza mahusiano kati ya MDs na top leadership coz historia yake na life system yake wanasiasa wanakuwa hawaijui-just wanakuwa na mahusiano ya kijuujuu, hata wakija kufahamiana vyema, tayari jamaa muda ushakwisha anahamishwa. Hebu jaribu kufikiria mtu uliesoma naye primary, sekondari na chuo na mlikuwa marafiki mnaojuana tabia zenu then siku ukusikia yy ni MDs wa Bank flan, hw easy to face her/him na kumchomeka mwanao akafanye field, then part-time then ajira?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom