Tiba
JF-Expert Member
- Jul 15, 2008
- 4,607
- 3,188
Au jamaa aliona kaharibu,kwanini aachei ngazi baada ya kurudishwa ?
Hata ingekuwa ni mimi, ningeachia ngazi kulinda credibility yangu. Hawa jamaa wa NBC wangeweza kumsimamisha/kumpa likizo jamaa kimya kimya ili kupisha uchunguzi kufanyika lakini hawakufanya hivyo na badala yake walitangazia dunia nzima kwamba jamaa amewekwa kando ili kumchunguza halafu wanarudi na kutwambia jamaa yuko safi. This was not a correct approach na Mafuru ili kuonyesha kwamba he was not happy with the whole process, he had to resign thereafter.
Tiba