Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,534
- 61,964
- Thread starter
- #261
Farid achezeshwe beki tu, mbele ubunifu hana
Hamtoamini kinachotokea mzunguko ujaoYanga mwaka huu tusiponenepa,basi tunautapiamlo. Yanga love love.
Kuna Timu Inatamani Hata Ingekuwa Inacheza 50% Ya Siku Ambayo Kiwango Kwetu Tunakiona Kibovu.Yanga wapo kwenye fomu kiasi cha kwamba hata wasipocheza vizuri wanapata matokeo
Karibu Yanga acha kushabikia timu za kuunga unga.Yanga wapo kwenye fomu kiasi cha kwamba hata wasipocheza vizuri wanapata matokeo
Achana na mambo ya mizunguko, furahia soka mujarab.Hamtoamini kinachotokea mzunguko ujao
Hamtoamini kinachotokea mzunguko ujao
Tumecheza na Police ,Prisons,Mtibwa,Mbeya kwanza,Namungo, Coastal Union na zingine kama nimesahau wananchi nikumbusheni.........mechi nyingi mzunguko wa 2 tunacheza Kwa Ben hapo ,chache nje.....Simba anamechi nyingi zaidi kwenye mashamba ya mpunga mikoani kuliko sisi......so pole sanaHamtoamini kinachotokea mzunguko ujao
Ni stress hizo mkuu msameheDua la kuku....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Plan zenu mlizopanga sisi tumeshapita humo zamani sanaHamtoamini kinachotokea mzunguko ujao
Unaumia ukiwa wapi ?HellooHamtoamini kinachotokea mzunguko ujao
Vipi nyinyi msiokamia mlishinda goli ngapi?Ndio level za utopolo hizo kuwakamia wadogo zake
Unaumia Ukiwa Wapi?Nawaona mabingwa wa round ya kwanza mnaendelea kushangilia ubingwa wenu.