NBC ndio Benki Ya Hovyo Hapa Mjini Kuliko Zote it Should Be Closed!!

Status
Not open for further replies.
Niliacha kutumia huduma za NBC since 2006, sikuhizi ukiwa unataka kufungua A/C kwao lazima utafute wadhamini ambao ni wateja wao na some documents from the court, what is the hell is that!? Just an A/C hadi niende mahakamani? kwani nataka kuomba passport!? Kiukweli hua nachukia management ya makaburu popote ilipo!
 
siyo nbc tu hata nmb ni majanga afadhari crdb mimi account ya nbc niliamua kufunga maana hela yangu mbona initese badala ya kufurahi na naombea benki mbili zife nmb na nbc maana zimekuwa kero mungu sikiliza dua zetu
 
....chakushangaza mabenki ya kimataifa wanaigombania, sasaivi Barclays UK wameshainunua na wameanza mkakati wa kuingiza program zao...!!
 
Shida hapo ni kwamba hao NBC yawezekana wanakwenda kupata uthibitisho kwa msajili wa makampuni kabla hawajafungua account wakati benki nyingine Unafungua kwanza ndio wanaendeaa na taratibu za kuthibitisha uwepo wa hiyo kampuni........ ndiomaana CRDB 1hour, NBC one month
 
- Nnilitaka kufungua Account ya Kampuni yangu ya Media kwa kutumia the same documents nilianza na Stanbic Bank ikanichukua siku 2 kufanikiwa kupata new account, nikaenda na the same documents NBC mwezi mzima na nusu mpaka jana nikawaambia stop it siihitaji tena with the same documents nimeenda NMB imenichukua just 6 hours kufungua a new account, sasa najiuliza what is NBC doing?

- I mean Mwezi mzima na nusu kufungua a simple account ya a genuine Company na bado hakuna clear answers are you kidding me or what? Hivi kweli wanaohusika huko mnaweza kuliambia Taifa hili kwamba mnapata faida? I do not believe that you guys sio bankers you should find another field lakini sio banking!!

Le Mutuz System
ungejaribu banks zote 30+ zilizopo hapa mjini ndo ufike conclusion kwamba ni 'Hovyo Hapa Mjini Kuliko Zote'
 
Hawafai NBC hata kidogo wanavumbua requirements zao na sio standard KYC(know ur customer).Mimi nilipoona nazungushwa nikasepa zangu Exim. Waache waendelee hivyo hivyo.Sio kweli kupata uhakika brela ni shida.Exim Bank Siku 1 tu na service safi. NBC tawi kama la Coco Plaza hamna hata wateja wanasoma magazeti tu halafu wanaringa kufungua account za makampuni
 
nafkiri kuna tatizo na banking system za Tz na nadhani pia huwa BOT hawazikagui mara kwa mara. NBC imelalamikiwa kitambo sana lkn hatuoni ikijirekebisha ukitaka kutoa hela kwenye tawi lisilokuwa lako na hela nyingi utakoma cha mtema kuni manake hadi itumwe fax kwenye tawi irudi sio leo tena yaani ni majanga.

kenedy and your team please help us on this.
 
- Nnilitaka kufungua Account ya Kampuni yangu ya Media kwa kutumia the same documents nilianza na Stanbic Bank ikanichukua siku 2 kufanikiwa kupata new account, nikaenda na the same documents NBC mwezi mzima na nusu mpaka jana nikawaambia stop it siihitaji tena with the same documents nimeenda NMB imenichukua just 6 hours kufungua a new account, sasa najiuliza what is NBC doing?

- I mean Mwezi mzima na nusu kufungua a simple account ya a genuine Company na bado hakuna clear answers are you kidding me or what? Hivi kweli wanaohusika huko mnaweza kuliambia Taifa hili kwamba mnapata faida? I do not believe that you guys sio bankers you should find another field lakini sio banking!!

Le Mutuz System

mkuu wafanyabiashara benki yetu ni crdb, process ya kufunguwa account ya kampuni haizidi one hour ni chini ya hapo.

kufunguwa acount binafsi ni dakika 30 tu na atm viza card yako unapewa muda huohuo na hakuna mambo ya barua za serikali ya mtaa wala mwajiri ni copy tu ya kitambulisho chako.

huko nmb umevaba jombaa, subiri tarehe ya mishahara ya walimu na wanajeshi halafu na wewe unahitaji huduma nadhani ndio siku utakayoifunga hiyo account.
 
last time kutumia hii benki nilikua mwanafunzi hata password sikumbuki tena
 
- Nnilitaka kufungua Account ya Kampuni yangu ya Media kwa kutumia the same documents nilianza na Stanbic Bank ikanichukua siku 2 kufanikiwa kupata new account, nikaenda na the same documents NBC mwezi mzima na nusu mpaka jana nikawaambia stop it siihitaji tena with the same documents nimeenda NMB imenichukua just 6 hours kufungua a new account, sasa najiuliza what is NBC doing?

- I mean Mwezi mzima na nusu kufungua a simple account ya a genuine Company na bado hakuna clear answers are you kidding me or what? Hivi kweli wanaohusika huko mnaweza kuliambia Taifa hili kwamba mnapata faida? I do not believe that you guys sio bankers you should find another field lakini sio banking!!

Le Mutuz System

na bado hujaenda kuchukua hela kwnye branch yako na kuambiwa nenda branch nyingine branch hii haina hela. haa haaa
mpe Dr Kimei NBC and seee it in next 5 years
 
Kwa tawi la Iringa uchukue lunch box kabisa kama unaenda asubuhi,foleni ndefu mhudumu mmoja,wakizidi sana wawili,plus adhabu ya kutoongea na simu masaa yote hayo utakayokuwa unasubiri huduma!NBC ni majanga jamani
NBC Iringa ni majanga, hata kipindi wanachuo wanalipa ada still utakuta tellers wawil au mmoja, na madirisha yako mengi, wanajipitisha tu
 
stupid stupid stupid mi sikutaka hata kusema jinsi hii bank ilivonikosesha pesa....lkn @W. J. Malecela
umefanya nikumbuke machungu, mwaka jana nlipata bonge la tenda kupitia kampuni yangu mpya nlikua nipo kwenye process ya kuifungua, sasa ikawa natakiwa by tar flan niwe fully registered with bank accounts and everything

but i had a month ahead so nikaanza process zote brela zikawa fresh hadi wadhamini fresh, nikapeleka docs zote according to their checklist, wakaniahidi it will take 2 days maximum nikawa fresh, ebana eeh siku zikawa zinakata ikafika hadi deadline wameshikilia docs zangu na mm nlishindwa kwenda bank zingine coz wadhamini wangu walikua wanabank na nbc na ilikua ni must anaekudhamini awe anabank nao. Mwisho wa siku tarehe ikapita nikakosa deal hivihivi

iliniuma sana aisee, sasa hiyo ilikua mwaka jana. nasikia sasa hivi ndo hovyo mara elfu moja. wafanyakaz wenyewe kama wanasukumwa kufanya kazi. pole le mutuz kumbe tupo wengi aisee....huwezi amini japo NMB inawateja wengi lakini imefanikiwa sana kuzikabili changamoto, NMB inakimbiza mbaya.
 
bank Majanga nilipeleka form zote za kufungua account mwaka Jana mwezi wa 12 2013 halafu confirmation ya kwamba account yangu ipo tayari nimetumiwa mwezi wa 5 2014. very stupid NBC

Aisee ngoja mie nisubiri kwa maana nilipeleka maombi juma lililopita na kuahidiwa nitatumiwa namba ya account baada ya siku 2!lakini mpaka leo hakuna kilichotumwa labda ni ngoje baada ya miezi 6!
 
Naunga mkono,NBC washenzi.Samora Branch wana teller desks 12 lakini wahudumu wap wawili lunch time,huwezi amini wanafanya biashara au wanacheza??

I agree with u. One day nilienda hapo samora,nilikaa almost masaa mawili,kisa wahudumu wawili wakati kunamadirisha manne hayana wahudumu, Na wahudumu wenyewe mara wapokee simu zao,mara watume sms,mara wapige zogo,huku ss tumesimama ktk foleni.
Tokea that day niliapa sitarudi tena.
 
Bora umeshituka mapema hiyoo bank ina bore sana aisee.Mie niliamua kufunga accoun yangu hivi hivi kwa ujinga ujinga wao.
 
nafkiri kuna tatizo na banking system za Tz na nadhani pia huwa BOT hawazikagui mara kwa mara. NBC imelalamikiwa kitambo sana lkn hatuoni ikijirekebisha ukitaka kutoa hela kwenye tawi lisilokuwa lako na hela nyingi utakoma cha mtema kuni manake hadi itumwe fax kwenye tawi irudi sio leo tena yaani ni majanga.

kenedy and your team please help us on this.

BOT wazembe....Bank issues si kama biashara zingine huria.....Its needs a very close supervision hasa kwa nchi zetu hizi ambazo bado mabenki yapo kwenye stage ya kuwaelewesha wananchi walau kujua umuhimu wa kufungua akaunti benki alafu wanaleta ujinga ujinga mwingi......

BOT wana angle zao za kukaba haya mabenki lakini kuna area nyingi za ku harmonize sector hii kukua wanaipuuza....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom