Hii benki kwa kweli tumeichoka sasa.Kila tukija hapa teller ziko saba tunakuta wahudumu 1 au 2 tu,tafadhali sana kama hamtaki kazi ni bora muache tu kuliko kutupa usumbufu wa namna hii.Kuweni makini!
mabenki yetu hakuna hata moja linalojua customer service ni kitu gani, equity benki itawanyoosha, wako bize kutangaza maredioni na kwenye tv ukifika kwenye kaunta zao ni ugoro mtupu,