Duh, watu bado mna account za NBC? Hii benk mimi ilishanishinda siku nyingi sana. Yaani bora hata ya NMB ambayo ni benk ya umma kuliko hawa makaburu. Kwa sasa benk zenye kukuhakikishia upatikanaji wa hela wakati wowote na hudumu nzuri ni CRDB na Barclays. At least I enjoy their services, japo zile za CRDB sometimes huwa zinaboa kutokana na majibu ya hovyohovyo ya wahudumu.