NBC kitengo cha Debit Card hovyo kabisa

Ozzie

Ozzie

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2007
Messages
3,233
Likes
51
Points
145
Ozzie

Ozzie

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2007
3,233 51 145
Nimelink Debit Card yangu ya NBC na Paypal. Kawaida huwa nanunua vitu toka mitandao mbalimbali inayouza vitu online. Mara chache sana nimekuwa ninarudishiwa pesa kwenye card yangu ama kwa kuwa kitu kimeuzwa kimakosa au hakijafika nilipo.
Shida inaanzia pale NBC. Ukirudishiwa pesa kwenye card yako ati huenda kwenye pool, hivyo inatakiwa utoe evidence ya kurudishiwa halafu uandike barua ya ku claim kiasi unachodai au uandike email kwenda contact.centre@nbctz.com. Sijui huwa wanafungua hiyo email!!!! Kama mara nne pesa ninazo claim kila moja ilitumia zaidi ya Miezi mitatu kurudishwa kwenye account yangu. Yaani huu ni uhuni mkubwa. Usipodai ndio ishatoka hiyo.
Ukipiga hiyo namba yao 0768984000 ya contact centre unakatwa pesa tu halafu utaishia kuahidiwa kusaidiwa japo hakuna chochote watafanya. Hii mibenki mingine bwana; ndio maana kila siku inakimbikiwa na wateja.
 
Baba Watoto

Baba Watoto

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2010
Messages
230
Likes
72
Points
45
Baba Watoto

Baba Watoto

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2010
230 72 45
Ngoja ninywe chai ntarudi hapa, ila bwana Ozzie ni PM details zako mie namjua mnene pale, sio ndio mambo ya siku hizi, lazima umjue mtu ndio mambo yanaenda
 
okaoni

okaoni

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2011
Messages
1,365
Likes
780
Points
280
okaoni

okaoni

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2011
1,365 780 280
Nimelink Debit Card yangu ya NBC na Paypal. Kawaida huwa nanunua vitu toka mitandao mbalimbali inayouza vitu online. Mara chache sana nimekuwa ninarudishiwa pesa kwenye card yangu ama kwa kuwa kitu kimeuzwa kimakosa au hakijafika nilipo.
Shida inaanzia pale NBC. Ukirudishiwa pesa kwenye card yako ati huenda kwenye pool, hivyo inatakiwa utoe evidence ya kurudishiwa halafu uandike barua ya ku claim kiasi unachodai au uandike email kwenda contact.centre@nbctz.com. Sijui huwa wanafungua hiyo email!!!! Kama mara nne pesa ninazo claim kila moja ilitumia zaidi ya Miezi mitatu kurudishwa kwenye account yangu. Yaani huu ni uhuni mkubwa. Usipodai ndio ishatoka hiyo.
Ukipiga hiyo namba yao 0768984000 ya contact centre unakatwa pesa tu halafu utaishia kuahidiwa kusaidiwa japo hakuna chochote watafanya. Hii mibenki mingine bwana; ndio maana kila siku inakimbikiwa na wateja.
Mkuu pole, lkn sijui ndio utaratibu wa kibenki au nini mimi yapata mwezi sasa nilinunua kimakosa kupitia kadi yandu ya crdb.Baada ya kucontact na selleralirefund na kwenye paypal inaonyesha stutus refunded. Kwenye akaunti yangu bado ni kimya sasa huu utaratibu sijui unakuwaje mbona ukinunua transaction inafanyika hapo hapo kurudisha mbona inakuwa issue?
 
Forum statistics

Threads 1,275,100
Members 490,908
Posts 30,532,670