Inasemekana kuwa hapo Corporate palikuwa na tatizo la umeme tangu juzi na kazi kadhaa zilisimama...
Kwa kuzingatia hilo na wakisikia milio ya alarm ni rahisi wengi kuunganisha kuwa ni moto tu! Heri kama ni testing tu, pia nadhani ingekuwa vema wangewafahamisha staffs wote mapema kabla ya tests za namna hii, watu watavunja miguu sasa!