NBC BANK: Utafiti ama kutesa watu?

NBC BANK: Utafiti ama kutesa watu?

Pole sana najua uko field na wewe, ngoja nikusaidie kupaza sauti.!
 
Nawe unaendaje mpaka Arusha bila kulipwa hela ya kujikimu?
Unadhulumiwa hata na wakenya jamani, tena nyumbani kwako...
 
Halafu leo NBC mtandao sijui umefanya nini nimekutana na foleni kwenye madilisha yao nikajiondokea zangu mie
 
Back
Top Bottom