This is it. I'm through with y'all.
You are a pathetic piece of junk masquerading as a caring, customer-centric financial services provider.
I mean, you don't even have the decency to get back to your customers' inquiries!
Does it cost a fortune to get back to someone you've promised you would?
If your vision is to be the 'Go-To' bank, guess what, you are doing a damn good job at being the 'Don't-Go-To' bank.
Do you even realize that we now have various and sundry options to chose from?
If you do, you sure don't act like it.
Oh well....you've just lost a customer and hopefully you will lose a whole lot more.
CRDB where ya at? Here comes a prospective customer.......
Serikali ipo hatarini kupoteza hisa NBC
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe amesema iwapo Serikali itashindwa kulipa deni la Sh22.5 bilioni inayodaiwa na kampuni ya Absa Group Limited ya Afrika Kusini hadi kufikia Machi mwakani, itapoteza asilimia 30 ya hisa zake katika Benki ya Biashara ya NBC.
Raia Mwema - NBC: Ilikuwa na bilioni 150, ikauzwa kwa ...
WAKATI Benki ya NBC ikiuzwa kwa wawekezaji wa Afrika Kusini mwaka 2000, kwa thamani ya shilingi bilioni 16, yenyewe ilikuwa na kiasi cha shilingi bilioni 151 taslimu katika akaunti zake mbalimbali duniani, Raia Mwema limebaini. - See more at: Raia Mwema - NBC: Ilikuwa na bilioni 150, ikauzwa kwa bilioni 16
Hawa jamaa wapumbavu sana, nikikuwa nahitaji kufanya SIM Banking, kwa kuwa namba ya simu ya zamani si ile ninayoitumia kwa sasa, nimeshazunguka hadi nimekata tamaa. Ati ku_update tu, hadi niende kwa lawyer athibitishe sijui nini, then nijaze fomu upya(kana kwamba ninafungua account), na blah blah nyingine.
Tumebishana sana hadi nikaamua ku_comply to their ----, mwisho wa siku hakuna kitu kilichofanyika, nimefika Branch 3 za NBC kote ni ujinga huo huo, now it is more than 2months toka nianze kufuatilia na hakuna dalili yeyote..CRDB kitu hicho hicho nimepata huduma hiyo niliyokuwa naipata awali(SIM Banking) just in two days!
So NBC sucks?...yeah, actually sucks big time.
mkuu kwa issue yako ni sahii...KUNA KITU KINAITWA K.Y.C[KNOW YOUR CUSTOMER] hi imewekwa na B.O.T...INROMATION yoyote unayotaka kubadilisha benk lazima iwe formal na documented for feature reference,uwezi kubadilisha information kama unabadilisha boga tena kwenye chombo cha hela.wataamini vipi labda we nitapeli au mpigaji
Ukitaka better customer care weka benki kuanzia 100m na kuendelea. Ila hizi hela za pipi hizi kila siku unataka wakupigie simu Nyani Ngabu?
Ha ha ha ha ha ha ha
Tafuta mtonyo Escrow upate walau hata 100m na we ukaitafute benki ndogo kama Akiba Commercial uanze nao mdogo mdogo utaona jinsi wanavyokutwangia simu kila wiki.
Tehe tehe teh e
Mkuu njoo Equity