illegal migrant
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,121
Dah kuna wakati mwingine unashangaa ni kama watu wamechoka biashara au nini, nimechomeka kadi hapa kwenye ATM ya NBC imenitolea risiti ambayo inaonyesha hela imekatwa ila kiuhalisia sijapata hela nimekaa hapa ili nisubiri, bado naendelea kusubiri ili pengine zisitoke akachukua mtu mwingine.
Nitalala hapa hapa hela ngumu mnatia aibu na limashine lenu limechakaa hapa uwanja wa Ndege terminal 2 nikipata au niki kosa hela asubuhi naamkia mahakamani..mwanasheria aliyenielewa ana pm
Nitalala hapa hapa hela ngumu mnatia aibu na limashine lenu limechakaa hapa uwanja wa Ndege terminal 2 nikipata au niki kosa hela asubuhi naamkia mahakamani..mwanasheria aliyenielewa ana pm