Prince Akeem
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 886
- 382
kuna waliowahi na zimewakaba mpaka leo. ACCA tatizo ni gharama na ninadhani CPA itatambulika zaidi kutoakana na paper kuongezeka.Alafu nilivyoenda bodi waliniambia na ada zimebadilika hadi regustration fee na July ndio watatoa.. Ina maada hata malipo yamepanda.. Najuuta kuchelewa kufanya pepa.
kuna waliowahi na zimewakaba mpaka leo. ACCA tatizo ni gharama na ninadhani CPA itatambulika zaidi kutoakana na paper kuongezeka.
Na acca chuo kipo wapi
Nbaa panajulikana nataka mahali pakujiandikisha kusoma acca,
ACCA hivi ni how much gharama sana ama???
Initial registration ni £79
Annual fees/subscription ni £81
Ukiwa na exemption inabidi uzilipie hizo exemptions.
Pia gharama ya exams zinatofautiana na levels pia ukilipia mapema au late. kwa kifupi siyo chini ya £65 per exam.
ACCA gharama yake si mchezo. Huh!!
ACCA nenda financial training center karibu na CBE ila ada zao balaaa
Mkuu unakumbuka Seminar Ya Mwisho ya Suluo alivyohimiza tukasome CPAwadau nimemaliza bcom-account pale mliman mwaka juzi 2012, sasa nataka nisome CPA kuanzia november mwaka huu, na nasikia kuna syllabus mpya, masomo gani yatanihusu. plz msaada
Shukrani vipi nao registration zao ni july kama nbaa ama??
click here: Bodi ya wahasibu N.B.A.A mnatutia aibu kimataifa, badilikeni sasawadau nimemaliza bcom-account pale mliman mwaka juzi 2012, sasa nataka nisome CPA kuanzia november mwaka huu, na nasikia kuna syllabus mpya, masomo gani yatanihusu. plz msaada