- Mkuu anayejua kuhusu uchezaji wa wachezaji wanapokuwa uwanjani ni watazamaji, sio anayecheza kwa hiyo naomba kusisitiza kwamba msimamo wangu upo pale pale kwamba huyu kijana Lebron ni overrated mno, hajafikia bado sana panapotakiwa. Sio lazima Magic Johnson akubaliane na mimi, ila anaweza kukubaliana na wewe sina noma!
Respect.
FMEs!
- Mkuu anayejua kuhusu uchezaji wa wachezaji wanapokuwa uwanjani ni watazamaji, sio anayecheza kwa hiyo naomba kusisitiza kwamba msimamo wangu upo pale pale kwamba huyu kijana Lebron ni overrated mno, hajafikia bado sana panapotakiwa. Sio lazima Magic Johnson akubaliane na mimi, ila anaweza kukubaliana na wewe sina noma!
Respect.
FMEs!
Are LeBron James and Carmelo Anthony sore losers.
Submitted by Teneshia LaFaye on Sun, 05/31/2009 - 17:46.
1. Denver Nuggets forward Carmelo Anthony may be a little pouty, but he is not a sore loser unlike his 2003 NBA draft classmate LeBron James.
2. Nevertheless, Anthony hung around to shake hands with the Lakers, and he and Bryant shared a five-second embrace before he headed back to Denvers locker room. And while Denver players sorely boasted that they are more talented and should have beaten L.A., Anthony responded that his team cant claim to be a better until it can actually win a playoff series against the Lakers.
3. NBA MVP LeBron James, on the other hand, behaved liked a sore loser after the Magic knocked Cleveland out of NBA title contention Saturday with a 103-90 victory in Game 6 of the Eastern Conference Finals to advance to Orlandos first NBA Finals since 1995.
4. As soon as the final buzzer sounded to signal the end to the Cavs record-breaking season, James pulled out his shirt, bowed his head and made a beeline to the Cavs lockers. No wave goodbye to Cleveland fans who endured the Magics home crowd full of hecklers. No congratulatory handshake to Orlando center Dwight Howard for putting up the 40 points usually customary for James, who finished with just 25 after being held scoreless in the second quarter and mustering only four points in the fourth. And no appearance at the postgame press conference.
Na hao ma legends wote kama wakina Magic Johnson wanaomsifia Lebron you have to consider their motives. Wengine wanamsifia sana so "if" not "when" he becomes great they can say I am the one who predicted big things for this guy.
Wengine wanamsifia as a sign of respect kuwa hawawezi kucome out straight na kusema he is overrated. .
[These guys they are diplomatic they don't always say whats on their mind but they are trying to be politically correct.
[They no Lebron's achievements will speak for themselves at the end of his career so wao kama the past greats of the game hawawezi kuona sababu yoyote ya kumsema vibaya Lebron.
[Ukitaka usikilize opinions zisizo na unafiki toka kwa legends msikilize mkali Charles Barkley who has openly praised Lebron but has also said he is not their yet. Charles Barkley just this year was in a "mini beef" with Lebron kwa kumsema vibaya mpaka kupelekea Lebron kumuita Charles "stupid". Lebron is on his way but there is no guarantee he will get there, time will tell.
Walima machunga ni bad match up kwa Cavaliers. Msije kushangaa na kuanza kulia na kujiuliza kulikoni Magic wakiwatoa Cavs
Ha ha haaa waulize Cel-tits na cheerleader wao. Wamenyweshwa mvinyo wa machungwa jana mpaka wametota.
Cavs ain't gonna get it easy. Wasipoangalia nao tutawavuruga kwao huko huko...
..halafu Lebron is not commited to playing defence.
..alitakiwa am-shutdown either Tokoglu au Rashad Lewis. he is just as big, faster, and stronger than either of them.
..kitu kingine Lebron habadiliki frm game to game. ajifunze kutoka kwa Kobe jinsi ya kufanya scouting on opposing teams.
..inawezekana tatizo ni kocha wa Lebron, lakini nadhani kwa upande wa Kobe his basketball IQ is at par to that of Phil Jackson.
Haya mshike mshike Quemu upo ndugu yangu?!.maana hao akina Cavs ndiyo bye bye now what?.
na huyo Babu alikuwa anamshabikia sana huyo Lebron ooh king jame king james kelele nyingiiiii,sasa sijui atarudi kwa Kobe now na kuanza ooh kobe need to show his ability kuonyesha kuwa he can play game without shaq.same chorus everyday.
Haya na dugude langu Icadon lipo wapi tena jamani eeh.Nimemiss maana sijamtia-machoni muda mrefu kidogo i hope aliweka nidhamu.
Nyani Ngabu said:Halafu kuondoka bila hata kuwapongeza wachezaji Magic kaonyesha poor sportsmanship unbecoming of an MVP!!
Go Magic