Inakuwaje Cavs waliokuwa wanaongoza kwa pointi 16 kushindwa ku maintain lead yao na hatimaye kupigwa bao nyumbani?
Nasema hivi Wauza machungwa ni bad match up kwa Cavs. Hawa Cavs wamewa sweep wachovu wachovu wa Detroit na Atlanta watu wakaingia mkenge na kuanza kuwamwagia misifa na wengine hata kudiriki kusema kuwa eti LeBron ni mzuri kumshinda Michael Jordan...uuuuuwiiiiiiii....
Utabiri umetimia.....woh hooo!!!!
Cavs - ok ngoja kwanza nikubali kuwa sijawahi kuangalia gemu yao mzima yoyote katika hizi playoffs mpaka jana. Hata hivyo bado nasita kusema chochote kuhusu uchezaji wao mpaka angalau nione gemu mbili zijazo. So far nasikiliza maoni ya wengine.
Magic - nashindwa kuelewa kwa nini hii timu watu wanaiona ni underdog of the three teams. Well, nathubutu kusema kuwa Magic wanacheza kitimu zaidi pengine kuliko timu zote 3. Wanaweza kuwa hawa-fancy moves zao, lakini wana gemu. Strategy yao inanikumbusha the Spurs (somehow).
I'm still standing by my yesterday's prediction - Nuggets win today!
kid lebron bado saana kwanza mie siwezi kumlinganisha hata na kobe.....unajua kobe kama kwenye soka ni watu type ya akina zidane yaani timu inapozidiwa basi kila mchezaji anamuangalia yeye awaokoe......Inakuwaje Cavs waliokuwa wanaongoza kwa pointi 16 kushindwa ku maintain lead yao na hatimaye kupigwa bao nyumbani?
Nasema hivi Wauza machungwa ni bad match up kwa Cavs. Hawa Cavs wamewa sweep wachovu wachovu wa Detroit na Atlanta watu wakaingia mkenge na kuanza kuwamwagia misifa na wengine hata kudiriki kusema kuwa eti LeBron ni mzuri kumshinda Michael Jordan...uuuuuwiiiiiiii....
kid lebron bado saana kwanza mie siwezi kumlinganisha hata na kobe.....unajua kobe kama kwenye soka ni watu type ya akina zidane yaani timu inapozidiwa basi kila mchezaji anamuangalia yeye awaokoe......
....
ila orlando waliponea chupu chupu nao.....zile sekunde za mwisho mo william ule mtupo bado kidogo tu....
Ni kweli Mkuu FMES, enzi za Jordan Basket ilikuwa kali sana maana timu nyingi ziliipania sana Da Bulls kutokana na dedication ya Air Jordan na attitude ya ushindani mkubwa aliyokuwa nayo. Timu nyingi ziliona kuifunga Da Bulls ni kama fahari ya aina yake na MJ hakudharau mechi hata za timu ambazo hazikuwa na wachezaji Bora. Wakati wa Playoffs zile mechi ambazo zilikuwa too close to call katika sekunde za mwisho nilikuwa naikimbia TV ha ha ha ha maana nilikuwa na wasiwasi wa hali ya juu kwamba Da Bulls watashindwa ha ha ha siku hizi sina pressure kabisa naangalia tu naweza nikawa naifagilia timu moja au nyingine lakini siyo kama wakati wa Da Bulls.
Mchezo wa leo ni lazima Denver washinde kama wanataka kwenda kwenye 2009 NBA Finals vinginevyo watakuwa katika wakati mgumu mno. Bado naamini itakuwa ni Denver na Cleveland, lakini jana King James aliondoka uwanjani akiwa anachechemea haijukalini kama ataweza kucheza kesho na kama atacheza je atakuwa 100%? Pamoja na kupoteza mchezo wa jana bado naamini Cleveland watashinda, lakini wakifanya uzembe basi wanaweza oia kuondolewa. Sikuwaelewa kabisa kupoteza mchezo ambao walikuwa wanaongoza kwa 15 points halftime tena wakiwa nyumbani kwao. Ni masaa machache kabla ya game ya Lakers na Denver enjoy the game.
- Sawa sawa mkuu, tupo pamoja hapo!
William.
tulia ndio kwaaanza half time.....1 point nyumaNuggets wanakula kipondo leo.
tulia ndio kwaaanza half time.....1 point nyuma
sitaki nuggets wani let down leo.....Umeamka kuangalia game?
sitaki nuggets wani let down leo.....
nilale wapi wakati nimeamka.....Rudi kalale wewe....