NBA: Miami Heat Vs LA Lakers Finals Game 6

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
44,583
188,788
Game 1: Thursday 01.10.2020

LA Lakers 116 : 98 Miami Heat

Game 2: Saturday 03.10.2020

LA Lakers 124 : 114 Miami Heat

Game 3: Monday 05.10.2020

Miami Heat 115 : 104 LA Lakers

Game 4: Wednesday 07.10.2020

Miami Heat 96 : 102 LA Lakers

Game 5: Saturday 10.10.2020

LA Lakers 108 : 111 Miami Heat

Hadi sasa baada ya game tano kuchezwa:

LA Lakers 3 : 2 Miami Heat


Miami Heat walianza kwa kupoteza mechi mbili za mwanzo na wakafufuka game ya tatu.
Game ya nne Miami Heat walipoteza matumaini kabisa baada ya kupoteza tena na ikaonekana LA Lakers wanachukua awamu hii mapema kabisa.

Ila game ya 5 wameamka na kuleta ushindani mkubwa ambao LA Lakers hawakutegemea. Huku Jimmy Butler akiendelea kuipigania Miami na kushinda game 5 tena.

Hadi sasa LA Lakers wameshinda game 3 na Miami wameshinda game 2.

Leo game 6 Miami wataendelea kuamka na tusubiri game 7?

Mara ya mwisho LA Lakers wamechukua taji hili ilikuwa 2010 wakiongozwa na Kobe Bryant.
Tutegemee LeBron James anawaongozwa LA Lakers kuchukua 2020?

Au Miami Heat?

Game saa 02:30 bado muda mchache toka sasa.
 
Back
Top Bottom