NBA: Let's Dribble

Financial Analyst

JF-Expert Member
Nov 27, 2017
1,605
2,748
Karibuni NBA fans, Let us share the joy and passion of this game.

56d1e85ded41594ba3b18d0266a84436.jpg
 
All stars haina kitu siku hizi. Bora uangali mechi za college au spainish cup.

Dunk contest sema nayo inazingua sana siku hizi. McClung kaficha uozo wa dunk contest ilivyo siku hizi. Bila hivyo ingekua ni ya hovyo sana
 
La Lakers kabaki na 24 games. Anahitaji kushinda 16 kujihakikishia nafasi ya playoff. Katika hizo 24 games, kuna game 7 za back to back. Ila hii acquisition ya Hachimura, Russel, Mo Bamba na yule jamaa wa wolves na kama Davis akiwa fit. Nina uhakika wanaweza kutoboa vizuri tu. Juu yao wapo timberwolves, warriors, jazz, thunder, blazers. Katika hao kuna watatu lakers anaweza kuwaacha vizuri tu.
 
Bado sijaona
 
Back
Top Bottom