Nba Basketball

jmushi1

JF-Expert Member
Nov 2, 2007
24,402
21,303
Haya wana jf..Kwa wale wanaopenda kikapu!

Playoffs hizi..Tuanze mjadala!

Timu zilizoko ni

Eastern conference: Boston Celtics, Cleveland Cavaliers, Detroit Pistons pamoja na Orlando Magics

Kwa upande wa West: Los Angels Lakers, New orleans hornets, Utah Jazz, pamoja na mabingwa watetezi San Antonio Spurs!

Utabiri wenu wakuu kuhusu ubingwa na pia wachezaji gani mnaowazimia

Listi ni kubwa tu..Kina Lebron James, Kobe Bryant, Tim Duncan, Ray Allen, Kevin Garnett, Toni Parker, Manu Ginobli, Chris Paul, David West na wengine wengi tu!

Kama kuna ambao pia unafikiri tuwazungumzie then unaweza kuwataja!
Lets start...
 
mi bwana los angeles lakers ndo mabingwa wangu wa milele wa kikapu...nawazimia by nature
 
Mimi wakichukua Lakers, Boston au Cleveland roho yangu itasuuzika hawa Spurs na Utah sipendi wawe mabingwa. Miye Manu na Parker uchezaji wao siupendi kwa sababu ni pretenders wanaopenda kwenda mbio kama vipofu halafu wakiguswa wanajirusha ili wapinzani wao waadhibiwe. Kama Lakers hawatakuwa na majeruhi wengi basi mwaka huu ni wao vinginevyo tusishangae ikiwa New Orleans watautwaa ubingwa.
 
Lakers wana nafasi pia na timu nyingine ulizozimention,
Ila kama ulivyosema hawa spurs watu hawawapendi lakini tusishangae wakichukua tena ubingwa!
 
I love LAKERS but nawaogopa SPURS hasa GINOBILI & DUNCAN
 
Leo tutajua hatma ya Cleveland na Boston!
Game itakuwa safi!
Lakers tayari washafuzu finali..Kazi imebaki kwa spurs na hornets
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom