Khalidoun
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 2,842
- 4,474
Pelicans timeout
Cousins anaingia rasmi uwanjani Ijumaa hii tarehe 18/1/2019 Warriors watakapokutana na ndugu zao kutoka kusini mwa California Clippers. Mchezo utafanyika kwenye uwanja wa Staples Center, Los Angels. Itakuwa ni patashika siku hiyo.Aisee, na hapo Cousins hajaja.
Cousins anaingia rasmi uwanjani Ijumaa hii tarehe 18/1/2019 Warriors watakapokutana na ndugu zao kutoka kusini mwa California Clippers. Mchezo utafanyika kwenye uwanja wa Staples Center, Los Angels. Itakuwa ni patashika siku hiyo.
Kashakuja..anakusalimiaView attachment BADA BING BADA BOOM! BOOGIE COUSINS IS A WARRIOR! ( 360 X 640 ).mp4Aisee, na hapo Cousins hajaja.
Naam, ila si ajabu wakampa dakika chache tu za kuanzia wakati huo huo wakiangalia anavyo fit katika mfumo wanaoutumia. Mwanzoni lazima atakuwa hajatulia na hivyo kucheza kwa wasiwasi baada ya kukaa benchi karibu mwaka mzima. Nitakuwa nachunguliachungulia kuona hali ikoje.Mag3 kuna game ya LAC vs GSW leo, ndiyo ambayo Cousins anacheza siyo?