Ngoja amalize mfungo FaizaFoxy atakujibu ufunguke zaidi huenda umezimikia kingine zaidi ya ushungi
nilikuwa sijaelewa kwenye FF ila kwa sasa nimejua anachomaanisha
humjui FaizaFoxy (FF) mkongwe wa JF dada yetu / anaweza kuwa mama yako au bibi yako kiumri pia, amekuwa mtoro sana:tape:, japo jukwa la siasa anapiga chapo kwa machale sana siku hizi huonekani sana pia huenda ndo maana hukung'amua kwa haraka maana FF
Jamani jamani!! Hebu nisaidieni nitampataje? Maan mida hii saa sita usingizi hakuna
Duh! sasa si uushughulikie huo ushungi, unanchekesha!
Taratibu dada, kumi la tatu huwa lina majaribu mengi sana!!!
Jamani jamani!! Hebu nisaidieni nitampataje? Maan mida hii saa sita usingizi hakuna
Duh! sasa si uushughulikie huo ushungi, unanchekesha!
Huyu FF ni noma alinikaribisha kwa mkwara Hapo kipindi ndo najipenyeza Jukwaa la siasa,Tulimisi sana maandako yake
"Vox populi Vox dei"
Jamani jamani!! Hebu nisaidieni nitampataje? Maan mida hii saa sita usingizi hakuna
Ushungi bila ulimi? Haiwezekani. Ngoja nivute subira iko siku.