Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,263
- 17,140
Safari_ni_Safari na wewe beba sembe tuu utaikwa moja ya hizo na kuwa na jumba lako la kifahari maeneo ya beach ukila upepo mwanana
kwa umri wangu na busara zangu hilo haliwezekani.....thanks but no thanks!
Mkuu maana yangu ni kuwa hangaika kwa uhalali lakini ipo siku Mwenyezi Mungu atakujalia na wewe kuwa nayoKwa umri wangu na busara zangu hilo haliwezekani.....thanks but no thanks!
halafu kwa umri huo mkuu ndo unafaa kubeba sembe watakuamini!
bibi alijilipua huyu daaa.
Mh nikikutana na Askari wa umri zaidi yangu je? Umemsahau huyu bibi? Almost twice my age!!!
unajitahidi tu unapanda hizo mega yatch za kina Abrahamovic ,bill gate
Hiyo KINGDOM yako bila serikali !!
Ebwana sio hizo...duh