Nayo hii ni fashion?

Nayo hii ni fashion?

Mnyamahodzo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2008
Posts
1,941
Reaction score
1,011
Kutoka kwenye ule mtindo wa kuvalia suruali matakoni ili hali nguo ya ndani inaonekana kirahisi sasa wamekuja na mpya.

Sijui labda ile ya kwanza inawafanya hawajulikani vizuri pengine hii itawatambulisha,
labda kupata Div 0 hakuwatambulishi vizuri pengine hii itawajulisha.

Nafikiri wenzake wanamwona mjanja.
 
Attachments

  • SAM_2254.JPG
    SAM_2254.JPG
    63.2 KB · Views: 409
Hii itakuwa siku ya mwisho baada ya mitihani wakaamua kuweka kumbukumbu kwenye mashati. Kuna jamaa analoshati la tangia 1947 lina shaii za washikaji wake wengi tu.
 
hawa ndio wanaandika mistari ya bongo flavor kwenye mitihani..tulivaa kata k lakini hii ni uchizi
 
Kutoka kwenye ule mtindo wa kuvalia suruali matakoni ili hali nguo ya ndani inaonekana kirahisi sasa wamekuja na mpya.

Sijui labda ile ya kwanza inawafanya hawajulikani vizuri pengine hii itawatambulisha,
labda kupata Div 0 hakuwatambulishi vizuri pengine hii itawajulisha.

Nafikiri wenzake wanamwona mjanja.
hii kitu kiukweli hata mimi niliifanya baada ya kumaliza paper ya mwisho nikawapa marafiki zangu marker pen wana sign in ma shirt na ninalo mpaka leo ts like ukumbusho fulani hivi nikiwakumbuka marafiki zangu naangalia shirt langu, ilikuwa kama style hivi ambayo mtu akimaliza shule anafanya hivyo for ukumbusho tuu.
 
Hii itakuwa siku ya mwisho baada ya mitihani wakaamua kuweka kumbukumbu kwenye mashati. Kuna jamaa analoshati la tangia 1947 lina shaii za washikaji wake wengi tu.

Agreed! Ni kumbukumbu nzuri, nimeiona hii mara nyingi, kinachofanyika ni baada ya mtihani wa mwisho unapita kwa rafiki zako wote na pen yenye wino mkali unampa rafiki aweke signature yake katika shati hilo. Si uhuni huo jamani ni namna ya kuwakumbuka tu watu ambao pengine hutakuja onana nao tena.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom