Nayaonea Huruma Maisha yangu

Mkuu nikuulize?,umesema umesoma miaka 17 hii ni kumaanisha ni kuanzia primary mpaka chuo,vipe umesoma seminary labda?.
Tuseme 16 kuanzia primary , , o level , , A level hadi chuo yaani nimekuwa mtu wa shule kwa sasa mwaka jana ndo nimeingia mtaani yaani sijazoea Maisha ya kuwa idle kabisa .
 
Asante sana Mkuu...
 
Watakuja kusema wewe sijui introvert sijui nini ngoja watoke kwenye mpira waje.
 
Jifunze kuwa unatoka toka nyumbani unatembea tembea mtaani na wakati mwingine unakwenda kwenye viwanja vya michezo vya mtaani kwako ,punguza kuangalia movie.
Asante sana Mkuu.
 
Pole Sana duh Sasa unaishije jmn hata ukienda sehemu za chakula ujichanganyi na watu!![emoji849] Yan najiuliza maswali mengi we unahisi shida n nn Hadi kanisani unaogopaje yani kitu gani kinakutisha labda?[emoji848]
Unajua am church Boy btw sasa mara nyingi kanisanj kuna ile hali ya kuulizana upo wapi unafanya nini!? Ulikuwa wapi!? Mara mbona hauonekani sikuizi!? Maswali mengi kama hayo uwa naonaga very difficult kuyajibu na uwa naona kama kuna watu baadhi wananifuatilia maisha yangu
 
Nina id nyingi sana mkuu mwanzo nilipoanzisha hii ilikuwa katika muundo wa utani na ndio maana Hata jina lipo hivyo ujinga baada ya hapo angalia thread zangu tatu za mwisho zimekuwa katika mfumo wa userious tofaut na lengo la mwanzo la id
Basi na huu kwa kuwa umeanzisha na ID hiyo hiyo nao ni ujinga tu, tuupuuze
 
Tuseme 16 kuanzia primary , , o level , , A level hadi chuo yaani nimekuwa mtu wa shule kwa sasa mwaka jana ndo nimeingia mtaani yaani sijazoea Maisha ya kuwa idle kabisa .
OK nkadhani ulisoma seminary mkuu,maana wasomi Wa seminary wakimalzaga chuo na wakaukacha upadri wakija mtaani wanakuwaga mandezi sana.
 
Elezea namba 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…