Dont worry mkuu, you are not alone, vipi draft una idea nalo? I mean unaweza kucheza mchezo wa draft?. If the answer yes, hebu jaribu kutafuta hii App inaitwa online checker, wenzio tumejificha huku, just image i can play draft with different people around the whole, good enough basing on my skills, i have managed to get alot of friend from different angles of the world to chart with while i' m playing it .
Hivyo kwasasa sina haja ya kwenda vijiweni kucheza coz sipendi kuonana na watu plus corona na mambo mengine mengine mengi hii app imekuwa msaada kwangu kuliko unavyofikiri.
Ifike mahali tujikubali vile tulivyo kuwa hatuna uwezo mkubwa wa kusocilize na watu, hivyo si vibaya tukajaribu kujitengenezea dunia yetu ya kufikirika japo kujipa furaha kidogo.