thanksJiunge na badoo alafu set location yako ionyeshe uko Nairobi mtandao utakuletea hawo unaowatafuta.
Siku hizi dunia mzima ipo kiganjani sema inabidi uwe makini unapoingia kwenye mahusiano na mtu ambaye humfahamu kiundani na pia ni vema ukifanikiwa kuopoa, uchukue muda wakutosha kumchunguza kabla ya kufanya commitment ya aina yoyote!
Jiunge na badoo alafu set location yako ionyeshe uko Nairobi mtandao utakuletea hawo unaowatafuta.
Siku hizi dunia mzima ipo kiganjani sema inabidi uwe makini unapoingia kwenye mahusiano na mtu ambaye humfahamu kiundani na pia ni vema ukifanikiwa kuopoa, uchukue muda wakutosha kumchunguza kabla ya kufanya commitment ya aina yoyote!
doh!Kama mie navyowish kuolewa na mkaka kutoka Tarime
hahahaha huna nia nzuri na mleta madaJitafutie www.nairobiraha.com