Nawezaje kuweka game la kwenye simu kwenye PC?

Nawezaje kuweka game la kwenye simu kwenye PC?

Iyegu

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
6,276
Reaction score
12,424
Nina game la Winning Eleven kwenye simu,nataka niliweke kwenye PC.Je,inawezakana?kivipi?
Cc: CHIEF -MKWAWA
 
si lipo facebook hilo?

search tu neno winning eleven facebook halafu ingia login na facebook utacheza kwa pc.
 
Angali setup ya hiyo game haf uidaunlod kweny PC na uinstoo
 
Nina game la Winning Eleven kwenye simu,nataka niliweke kwenye PC.Je,inawezakana?kivipi?
Cc: CHIEF -MKWAWA
Yeah inawezekana, lakini unaweza tumia njia hizi mbili: -
1. Download program endeshi kama vile android na uweke kwenye pc yako ili iweze kusupport hilo gemu, kama vile remixos, bluestark, emo nk, hizo ni program endeshi za pc kama android, install na unaweza pc ako kama simu tu, playstore nk.

2. Search Google setup ya hilo game kwajili ya pc (.exe), kama lipo utadownload na kuinstall.
 
Back
Top Bottom