Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,096
- 9,074
Kwa nini uwashtaki wakati hujalipia? Point ni kwamba wameghairi kukuuzia basi


nakumbushia tu ukariri wangu wa chuoni Enzi zetu.Ulilipa sasa, unatuletea ujinga wako wa fikra hapa. Wewe mwenyewe ulijua wamekosea ile price pale, sasa baada ya kutake advantage unaanza tena kutuma sijui nini tena, ebu acha kutuletea thread za kitoto. Pekeka fb huko wakusaidie mawazo.Jing.a mmoja wewe.. Soma Mada uelewe... Ebooo..
Nani kakwambia nimeshindwa kulipia hiyo elfu 79??
Mkuu, sijawahi kupata ban, so usinitafutie.. hivi unajua walitoa njia gani za malipo?Ulilipa sasa, unatuletea ujinga wako wa fikra hapa. Wewe mwenyewe ulijua wamekosea ile price pale, sasa baada ya kutake advantage unaanza tena kutuma sijui nini tena, ebu acha kutuletea thread za kitoto. Pekeka fb huko wakusaidie mawazo.
Soma tena nilichoandika, kama hautaelewa, basi nitalazimika kukuandalia notes ili uwe unajisomea kwa muda wako wa ziada..Ulilipa sasa, unatuletea ujinga wako wa fikra hapa. Wewe mwenyewe ulijua wamekosea ile price pale, sasa baada ya kutake advantage unaanza tena kutuma sijui nini tena, ebu acha kutuletea thread za kitoto. Pekeka fb huko wakusaidie mawazo.
Hizo njia ni kwa nyie wenye hela za mawazo. Ingekuwa mimi ningetumia njia ya haraka zaidi. Ondoa ujinga wako.Mkuu, sijawahi kupata ban, so usinitafutie.. hivi unajua walitoa njia gani za malipo?
Lala ukue kidogo.. Jing.a mmoja....
Njia gani ya haraka? Hovyoo... Kwanza nahisi hata kufanya manunuzi huko Jumia hujawahi..Hizo njia ni kwa nyie wenye hela za mawazo. Ingekuwa mimi ningetumia njia ya haraka zaidi. Ondoa ujinga wako.
Mimi sio maskini kama wewe, unataka Sale ndio ununue? Wenzako tunakwenda moja kwa moja kwenye mall na kununua. Wewe leo hii unaangaika na home theater bado hujaanza hata kuishi, una umri wa kuzaliwa tu.Njia gani ya haraka? Hovyoo... Kwanza nahisi hata kufanya manunuzi huko Jumia hujawahi..
Okay.Mimi sio maskini kama wewe, unataka Sale ndio ununue? Wenzako tunakwenda moja kwa moja kwenye mall na kununua. Wewe leo hii unaangaika na home theater bado hujaanza hata kuishi, una umri wa kuzaliwa tu.