Nawezaje Kuwashitaki Jumia?

Nawezaje Kuwashitaki Jumia?

Kaudunde Kautwange

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2011
Posts
1,686
Reaction score
1,758
Habari za wakati huu!!

Jana ilikuwa ni Black Friday, na vitu vilikuwa vinauzwa kwa bei ya punguzo.

Nilipata mda wa kuperuzi kwenye Jumia online market, na bahati nzuri nikakuta kuna bidhaa imenivutia, tena nahisi walii misprice, so nikatumia fursa hiyo kununua...
e7a3d98cd4304cba2635ee2ba085f5e9.jpg

Baada ya kununua, wakanitumia ujumbe huu:
770a8d836a08033c9956d3f44825d669.jpg

Wakitaka ni confirm, na mimi niliwajibu hivi:
f023461359073779fbc8788c245f897a.jpg

Baada ya hapo wakanitumia jumbe hizi:
96d9f88e09962b37d5ddb2ce10f08090.jpg

2792574ce998612f0f6fbeb1487cf9a0.jpg

Na wakanipigia na simu kunijuza what next, na walisema mzigo ntaupata ndani ya siku 3.

Sasa leo wamenitumia email hii:
3812c0045495245e4e54ecaa33cc1b6d.jpg

Na hakuna discussion yoyote ambayo waliifanya na mimi.

Je, kwa kuvunja mkataba wa manunuzi ya bidhaa, kwa namna ambavyo nimeonesha hapo juu, siwezi kuwadai bidhaa yangu?

Au kuna taratibu gani za kisheria ili nipate mzigo wangu?

Ahsante.
 
Walikuja kushtuka kua 79,000 ni ndogo sana kwa mzigo waliotaka kukupa,
Labda hapo mwanzo walikosea price
 
Ngoja nikuelimishe kitu... Jumia ni website tu ila bidhaa zote unazo ona huko ndani sio za Jumia ni za wauzaji walio ingia mkataba na jumia kuuza kupitia platform yao... Muzaji ana weza upload bidhaa mwenyewe na ana handle duka lake mwenyewe ila jumia wana saidia kuveridy oder kwa kukupigia kama kweli unataka au una test. Ndio hizo email from Customer service ulizo kuwa unatumiana... Kama muzaji alikosea bei ana haki ya kucancel same as jumia ana haki ya Ku cancel na wewe pia unaweza cancel.... Kwa vyovyote vile hiyo theater haiwezi uzwa bei hiyo ..
Watz wengi huwa wanaichukulia jumia kama kampuni ndogo una weza tu kwenda kushtaki kirahis... Jumia ni kampuni kubwa sana ni multi billion company Afrika ina kampuni 4-5

Jumiafood kwajili ya kiweka oder ya vyakula unaletewa hado Orsini/nyumbani

Jumia Travel una book hotel I yoyote Tz kama unasafiri wewe ukienda mkoa husiki in kulala tu.
Jumia house Ku rent na kiza nyumba(Tz haipo)
Jumia cars ya kuuza magari(Tz haipo)
Jumia classifieds matangazo madogo madogo (Tz haipo)

Bara Asia wanajulikana kama lazada na Daraz zalando etc

Makao makuu ni Ufaransa, hub za operation no Nigeria na Misir na uholanzi(IT) kwa Tz In patner was MIC Tigo. Africa wame patner na mitandao mikubwa katibu yote kulingana na nchii husika.... Kwa Tz wana ofisi 4 Main office kinondonj Accacia house . hub kariakoo Congo tower, city mall na masaki.

Jumia ilichipukia Nigeria vijana wawili wa Nigeria walio soma havard ndio wali anzisha. Waka wauzia matajiri wawili wa wajerumani ndio walio iendeleza hadi ilipo sasa.

Yani ukisema ukashtaki in kujipotezea muda... as long as huja loose pesa etc piga Mishe zako tu mana they have smart lawyers etc ila sheria msumeno ina weza mkata hata mwenye jeshi... Soma terms and condition kama u have a right una weza shtaki
 
Wewe ni mmojawao?
 
Umeandika mengi kumbe issue uliyotakiwa kuandika ni kumshauri asome "Terms and Conditions" tu
 
Stupideness at its high level. Umeulizwa uelezee kampuni hapa ? Unajibu hivo sababu jumia ndio inakupa mkate wako wa siku sio?

Na unahisi umejielezea kabisa.
Kwann hata usinge mshauri asome pale mwsho alipoambiwa acheki refund policy aone anasimama vipi kisheria?
 
Yaani jamaa alianza vizuri lakini ghafla akajikuta anaanza kuipa promo hiyo kampuni.
Ilikua ni suala la kumshauri mdau asome terms and conditions basi angeeleweka.
 
Kama hukupitia fine prints au terms and conditions, chances are utashindwa hiyo case ila usikate tamaa jaribu unaweza shinda na kuwapa wao somo next time wawe makini.
 
Hahahha nyie mnao sema nime ipa promo Kampuni ngoja na nyie ni wa eleimishe kitu itawasaidia siku mkiwa na kampuni zenu au kama mna zo itawasaidia kitu.... ili kukuza Bishara yaki ni lazima use all means of channel kuhakikisha una enda viral au u'r known to the public..... ukipata jukwa la ktumia bure kama Jamiiforum na ukaona kampuni yako ime zungumziwa kwa ubaya au uzuri hapo hapo unatakiwa uitumie kuhakikisha una wapa watu more knowledge ili wakujue vizuri, wajue una fanya nini, na how u can make them gain trust. Hi ni marketing kama kuna PR humu ata kuwa kanielwa sana kwa nn nime andika vile ....... uwezo wa kuandika soma terms and conditon nlikuwa naujua lakin i had to be professional and use tis as a free channel ..... kwa maelezo yangu hapo juu am sure kama marketing guy nime wapa watu trust kwa wale ambao hawakuwa na trust na jumia and i have spread the word free of charge....... am sure kuna watako amua ku search hii jumia ni nn hence ntakuwa nime increase traffic pia. ( it all about being smart in grasping free opportunities)

jumia Black friday bado ina endelea mwisho ni Dec 4 endela kununua vitu kwa bei rahisi mdau link hii hapa www.jumia.co.tz/black-friday/?source_TZ_BF_WK_47_JF wana kuletea hadi nyumbani kwako ndio unalipia.

kwa alie uiza kama mimi mmoja wao.. kwa sasa hapa nilikuwa mmoja wao kipindi cha (Kaymu) ndio mana najua alot of infomation ila pia ni kampuni nayo ipenda nime jifunza mengi nikiwa nao na nina bidhaa zangu jumia nauza huko ni washauri wale ambao game ni gumu.. sell with jumia kuna hela sana na kuna comision pia ya kulipia sio bure bure
nta eka screenshot kadha labda uta amasika kumsaidia Muhesimiwa Raisi kujikomboaa na umaskini

since Ndipo napo pata ugali wangu nita iwakilia vyema kwa jami inayo nzunguka.

mtu yoyote ana weza kuwa muzaji wa jumia watembele ofisi zao za kkoo jengo la congo tower floor namba 6 lipo nyuma ya polisi msimbazi
upload_2017-11-26_13-9-43.png

upload_2017-11-26_13-13-39.png
 
Habari za wakati huu!!

Jana ilikuwa ni Black Friday, na vitu vilikuwa vinauzwa kwa bei ya punguzo.

Nilipata mda wa kuperuzi kwenye Jumia online market, na bahati nzuri nikakuta kuna bidhaa imenivutia, tena nahisi walii misprice, so nikatumia fursa hiyo kununua...
e7a3d98cd4304cba2635ee2ba085f5e9.jpg

Baada ya kununua, wakanitumia ujumbe huu:
770a8d836a08033c9956d3f44825d669.jpg

Wakitaka ni confirm, na mimi niliwajibu hivi:
f023461359073779fbc8788c245f897a.jpg

Baada ya hapo wakanitumia jumbe hizi:
96d9f88e09962b37d5ddb2ce10f08090.jpg

2792574ce998612f0f6fbeb1487cf9a0.jpg

Na wakanipigia na simu kunijuza what next, na walisema mzigo ntaupata ndani ya siku 3.

Sasa leo wamenitumia email hii:
3812c0045495245e4e54ecaa33cc1b6d.jpg

Na hakuna discussion yoyote ambayo waliifanya na mimi.

Je, kwa kuvunja mkataba wa manunuzi ya bidhaa, kwa namna ambavyo nimeonesha hapo juu, siwezi kuwadai bidhaa yangu?

Au kuna taratibu gani za kisheria ili nipate mzigo wangu?

Ahsante.
upload_2017-11-26_13-19-32.png
upload_2017-11-26_13-19-32.png

check screenshot hiyo ina sema aje about cancellation .... link pia nime kueweka ili usome

Terms and Conditions - Jumia
 
Ngoja nikuelimishe kitu... Jumia ni website tu ila bidhaa zote unazo ona huko ndani sio za Jumia ni za wauzaji walio ingia mkataba na jumia kuuza kupitia platform yao... Muzaji ana weza upload bidhaa mwenyewe na ana handle duka lake mwenyewe ila jumia wana saidia kuveridy oder kwa kukupigia kama kweli unataka au una test. Ndio hizo email from Customer service ulizo kuwa unatumiana... Kama muzaji alikosea bei ana haki ya kucancel same as jumia ana haki ya Ku cancel na wewe pia unaweza cancel.... Kwa vyovyote vile hiyo theater haiwezi uzwa bei hiyo ..
Watz wengi huwa wanaichukulia jumia kama kampuni ndogo una weza tu kwenda kushtaki kirahis... Jumia ni kampuni kubwa sana ni multi billion company Afrika ina kampuni 4-5

Jumiafood kwajili ya kiweka oder ya vyakula unaletewa hado Orsini/nyumbani

Jumia Travel una book hotel I yoyote Tz kama unasafiri wewe ukienda mkoa husiki in kulala tu.
Jumia house Ku rent na kiza nyumba(Tz haipo)
Jumia cars ya kuuza magari(Tz haipo)
Jumia classifieds matangazo madogo madogo (Tz haipo)

Bara Asia wanajulikana kama lazada na Daraz zalando etc

Makao makuu ni Ufaransa, hub za operation no Nigeria na Misir na uholanzi(IT) kwa Tz In patner was MIC Tigo. Africa wame patner na mitandao mikubwa katibu yote kulingana na nchii husika.... Kwa Tz wana ofisi 4 Main office kinondonj Accacia house . hub kariakoo Congo tower, city mall na masaki.

Jumia ilichipukia Nigeria vijana wawili wa Nigeria walio soma havard ndio wali anzisha. Waka wauzia matajiri wawili wa wajerumani ndio walio iendeleza hadi ilipo sasa.

Yani ukisema ukashtaki in kujipotezea muda... as long as huja loose pesa etc piga Mishe zako tu mana they have smart lawyers etc ila sheria msumeno ina weza mkata hata mwenye jeshi... Soma terms and condition kama u have a right una weza shtaki
Yeye alitakiwa alipie kwanza ndio issue ingeanzia hapo. Kulipa elfu 79 tu zilikutoa jasho, sasa hiyo kesi utaiweza kweli au? Kuilog tu utakuta laki 2, utaweza?
 
Jing.a mmoja wewe.. Soma Mada uelewe... Ebooo..
Nani kakwambia nimeshindwa kulipia hiyo elfu 79??
 
Ngoja nikuelimishe kitu... Jumia ni website tu ila bidhaa zote unazo ona huko ndani sio za Jumia ni za wauzaji walio ingia mkataba na jumia kuuza kupitia platform yao... Muzaji ana weza upload bidhaa mwenyewe na ana handle duka lake mwenyewe ila jumia wana saidia kuveridy oder kwa kukupigia kama kweli unataka au una test. Ndio hizo email from Customer service ulizo kuwa unatumiana... Kama muzaji alikosea bei ana haki ya kucancel same as jumia ana haki ya Ku cancel na wewe pia unaweza cancel.... Kwa vyovyote vile hiyo theater haiwezi uzwa bei hiyo ..
Watz wengi huwa wanaichukulia jumia kama kampuni ndogo una weza tu kwenda kushtaki kirahis... Jumia ni kampuni kubwa sana ni multi billion company Afrika ina kampuni 4-5

Jumiafood kwajili ya kiweka oder ya vyakula unaletewa hado Orsini/nyumbani

Jumia Travel una book hotel I yoyote Tz kama unasafiri wewe ukienda mkoa husiki in kulala tu.
Jumia house Ku rent na kiza nyumba(Tz haipo)
Jumia cars ya kuuza magari(Tz haipo)
Jumia classifieds matangazo madogo madogo (Tz haipo)

Bara Asia wanajulikana kama lazada na Daraz zalando etc

Makao makuu ni Ufaransa, hub za operation no Nigeria na Misir na uholanzi(IT) kwa Tz In patner was MIC Tigo. Africa wame patner na mitandao mikubwa katibu yote kulingana na nchii husika.... Kwa Tz wana ofisi 4 Main office kinondonj Accacia house . hub kariakoo Congo tower, city mall na masaki.

Jumia ilichipukia Nigeria vijana wawili wa Nigeria walio soma havard ndio wali anzisha. Waka wauzia matajiri wawili wa wajerumani ndio walio iendeleza hadi ilipo sasa.

Yani ukisema ukashtaki in kujipotezea muda... as long as huja loose pesa etc piga Mishe zako tu mana they have smart lawyers etc ila sheria msumeno ina weza mkata hata mwenye jeshi... Soma terms and condition kama u have a right una weza shtaki
Ahsante mkuu hii ndo faida yakua humu jukwaani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom