Nawezaje kuwapata wezi wangu wa simu

Nawezaje kuwapata wezi wangu wa simu

IFRS

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2014
Posts
2,920
Reaction score
5,267
Habari wana jf
Kuna rafiki yangu ameibiwa simu mbili 1.Techno 2.iPhone 4
Amejaribu kwenda Polisi lakini hajapewa ushirikiano wa kutosha hivyo aliitaji ushauri kutoka kwangu jinsi ya kuweza kuwapata wezi maana hiyo Simu ya techno bado inaonekana Whatsap iko online lakini iPhone ndio ipo offline.
Wakuu naombeni ushauri
 
Me niliibiwa IPhone Yangu mpaka sass niliamua kuvumilia maumivu
Maana Police wasivyo na Aibu unaweza kwenda na maumivu ya kuibiwa wao wakakuongezea maumivu mengine ya kukuchuna balance yako

Hii tecno no tecno ngapi Mkuu
 
Habari wana jf
Kuna rafiki yangu ameibiwa simu mbili 1.Techno 2.iPhone 4
Amejaribu kwenda Polisi lakini hajapewa ushirikiano wa kutosha hivyo aliitaji ushauri kutoka kwangu jinsi ya kuweza kuwapata wezi maana hiyo Simu ya techno bado inaonekana Whatsap iko online lakini iPhone ndio ipo offline.
Wakuu naombeni ushauri
Kuwapata wezi wa simu ni rahisi kama uliiregister kwenye Web ya Mtengenezaji.
Ikiibiwa unaweza kuingia kwenye Internet ya kwa Password utakayopewa, na uwaeza kuiona mpaka nyumba iliyo kama mtu anaitumia
 
Mfano techno unairegister hukuhuko nje zilipotengenezwa?
 
Kama ana apple id na alikuwa amewasha find my iphone basi iphone anaweza kuipata au kuiharibu isitumike
 
Naona hapo simu hutapata tena labda bahati tu maana kama kila kitu unauliza kivipi naona abaki na Nokia tu next time
 
Habari wana jf
Kuna rafiki yangu ameibiwa simu mbili 1.Techno 2.iPhone 4
Amejaribu kwenda Polisi lakini hajapewa ushirikiano wa kutosha hivyo aliitaji ushauri kutoka kwangu jinsi ya kuweza kuwapata wezi maana hiyo Sim ya techno bado inaonekana Whatsap iko online lakini iPhoe ndio ipo offline.
Wakuu naombeni ushauri
Mie nliibiwa samsung s 4 mwezi uliopita,nikaenda kuripot police angalau wanipatie barua niipeleke kwenye kampuni za sim ambapo lini yangu ilikua inatumika kwenye iyo s 4,
Kwa majibu aliyonipa yule police,Wallah ningekua na tindikali ningemkogesha mwili mzima,maaanina zake..
 
Kivipi????

Kama simu imewashwa find my iphone una apple id cha kufanya unalog in kwenye PC ama kwa iphone nyingine ambayo ina find my iphone app, ukichafanya ivo utaona option tofauti tofauti we bofya find my iphone then utaona unaonyeshwa location ilipo simu yako kwa map, na pia pale unatao kunasehemu za kuchagua ama kuilock huko iliko ama kufuta kila kitu kilichomo kwenye simu ama kuideactive isifanye kazi kabisa inakuwa kama kopo tu kwa aliyeiba
 
Hizo data kwani siwezi nikazihamishia simu ingine?
 
Niletee jogoo wa bluu awe yatima au mjane...mchele kilo tatu , nyanya fungu mbili ,kitunguu maji , binzari nyembamba...bila kusahau mafuta ya kula kipimo kimoja......na karoti na pili pili hoho kubwa mbili na kitunguu swaumu kikubwa......na chumvi pakiti moja..........ndani ya siku mbili aliyekuibia atakurudishia mwenyewe.....mpaka mlangoni........
 
Natamani sana ninunue iphone sababu ya security feature yake
 
Back
Top Bottom