Nawezaje kuwa Wakala wa benki. Mfano NMB na CRDB

josefast

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
372
134
Habarini wadau....

Crdb Fahari Huduma ni aina mpya ya uwakala wa kibenk ambapo kwa hivi sasa mteja wa Crdb anaweza kupata huduma za kutoa, kusajiliwa na kuweka pesa kwa wakala bila kufika benki.

Bila shaka baadhi yenu mmelisikia tangazo lao either kupitia Radio 1 or RFA radio etc.
Kwa mwenye uzoefu hebu tudokezane namna ambavyo wakala anavyoweza kupata faida kupitia huduma hyo na changamoto zake.

Habari zenu wakuu,

katika pitapita zangu nimeona mabango ya wakala wa NMB najua humu kuna watu wengi wanaweza nijuza je, vitu gani vinatakiwa ili niwe wakala wa NMB? Je ni mtaji kiasi gani au vigezo vipi kuna maeneo mengi potential kuweka hii biashara.

Natanguliza shukrani

Habari wanajamvi, kwa wanaofahamu, eti ni vigezo gani vinahitajika ila kuwa wakala wa benk hususani nilizozitaja hapo juu,

1) inatakiwa uwe na mtaji kiasi gani kwa benki ya crdb na nmb ili uwe wakala wao (ufanye baadhi ya malipo au deposit kwa niaba yao)?

2) Wanatoa commission kiasi gani?
 
Habarini wadau....
Crdb Fahari Huduma ni aina mpya ya uwakala wa kibenk ambapo kwa hivi sasa mteja wa Crdb anaweza kupata huduma za kutoa, kusajiliwa na kuweka pesa kwa wakala bila kufika benki.
Bila shaka baadhi yenu mmelisikia tangazo lao either kupitia Radio 1 or RFA radio etc.
Kwa mwenye uzoefu hebu tudokezane namna ambavyo wakala anavyoweza kupata faida kupitia huduma hyo na changamoto zake.

Huduma hii naisikia sana lakini sijuagi taratibu zake, kwa anaejua tafadhali atufafanulie.
 
Huduma hii naisikia sana lakini sijuagi taratibu zake, kwa anaejua tafadhali atufafanulie.

usanii bhana.. wanadai wako kila kitongoji sjawai ata kuwaona, au mpesa ndo fahari huduma? natmai ilikua gear ya kuwin tenda ya kuhudumia mishahara ya serikali
 
Iyo project iko under pipeline ingawa tayari ilishafanyiwa uzinduzi. Muda si mrefu tutapata hizo huduma mtaani kwa selected CRDB Agent baada ya kupata POS.
 
hii kitu CRDB wanaitangaza lakini ni kama walikurupuka bila maandalizi ya kutosha,kuna watu wameomba huo uzushi na kupewa barua za kukubaliwa takribani miezi mitano ni story tu na excuse za ovyo ovyo tu.
 
Vip taratib za kupata uwakala anayefaham atujulishe
niliwah kuhudhuria promo yao moja ya huduma hiyo mpya, ili uwe wakala wanasema atleast uwe na capital m.5, biashara nyingne isiyohamishika uwe umeifanya kwa miaka miwili hivi, tin na lesen ya biashara.
Mitaan mawakala tayar washaanza kuibuka inawezekana humu ndani kunawadau wameshakuwa mawakala au wanaifaham vizur hiyo huduma angalau watujuze commission yake inavyokuwa....... hizi ni fursa wakuu simnakumbuka jins m-pesa ilivyoanza kimzahamzaha sahv imekuwa dili..
 
hii kitu CRDB wanaitangaza lakini ni kama walikurupuka bila maandalizi ya kutosha,kuna watu wameomba huo uzushi na kupewa barua za kukubaliwa takribani miezi mitano ni story tu na excuse za ovyo ovyo tu.
Mkuu kuchelewa kujibiwa maombi nafikir nikat ya changamoto zake...benk kuanza kuwa na mwakala mitaani nafikiri nkati ya hatua za kuua huduma za mitandao ya simu i.e m-pesa/tgo pesa ngoja na nmb n posto benk waingie mitaan tuone itakavyokuwa...
 
Hii biashara / uwakala walio wengi waliomo wanajutia haina mapato ya kutosha sbb kubwa jamii haikuitika vya kutosha na wapinzani ni wengi kwa baadhi ya huduma kama kutuma pesa (mpesa, tigopesa n.k)
 
ni kama huduma ya tigopesa au mpesa, kuna comission zake. au huduma za kutoa hela kwenye atm, kuna makaton yake ila wew unalipwa na benki, hurhusiwi kumkata mteja
 
Haya hizi hapo details requirements na commission
AGENT BANKING REQUIREMENTS

 INDIVIDUAL/SOLE PROPRIETORS/PARTNERSHIP

National Identity, Passport, Driving License Two passport size photos. Tax Identification Number Certificate of good conduct (individual) Curriculum Vitae of business owners Previous 2 years Business Permits Valid/Current Business License 6 months business statement of account Audited accounts for the last 2 years (if available) Know Your Agent (KYA)

 Limited Company

National Identity, Passport, Driving License Two passport size photos for the directors Tax Identification Number Certificate of good conduct (directors) Curriculum Vitae of business owners VAT registration (if applicable) Certificate of incorporation Articles and memorandum of association Board Resolution to carry out agent banking Annual Turnover from BRELA Audited accounts for the last 2 years Current business license Know Your Agent (KYA) 6 months business statement of account


COMMISSION FOR AGENT
AMOUNT (BAND)
DEPOSIT
WITHDRAWAL
1,000 - 29,999
250
450
30,000 - 49,999
300
500
50,000 - 99,999
350
550
100,000 - 299,999
550
1,000
300,000 - 499,999
1,500
2,000
500,000 - 1,000,000
2,000
2,500
Above 1,000,000 Maximum 2,000,000
3,000
n/a
 
Tutumie mkuu nasi tujue

ni hii amount. costomer charges
amount
1000-29999
diposit
500
withdrawal
1000
30000-49999
500
1000
50000-99999
500
1000
100000-299999
1000
1500
300000-499999
2500
3000
500000-1000000
3000
5000
above 1000000 maximum 2000000
5000

agent commission
amount
1000-29999
deposit
250
withdrawal
450
30000-49999
300
500
50000-99999
350
550
100000-299999
550
1000
300000-499999
1500
2000
500000-1000000
2000
2500
a
bove 1000000 maximum 2000000
3000
haya kazi kwenu wadau mnaotaka hii biashara ya crdb.
 
ni hii amount. costomer charges
amount
1000-29999
diposit
500
withdrawal
1000
30000-499995001000
50000-999995001000
100000-29999910001500
300000-49999925003000
500000-100000030005000
above 1000000 maximum 20000005000

agent commission
amount
1000-29999
deposit
250
withdrawal
450
30000-49999300500
50000-99999350550
100000-2999995501000
300000-49999915002000
500000-100000020002500
a
bove 1000000 maximum 2000000
3000
haya kazi kwenu wadau mnaotaka hii biashara ya crdb.

Duh! Si nikama M-Pesa tu?
 
hii kitu baadae si haba itakuwa ni dili hatare kuipata mpaka uhonge wakt sahiv ni bure
 
Back
Top Bottom