Richard Njau
Senior Member
- Jan 12, 2012
- 107
- 111
Habari wanajukwaa, ninaomba msaada kuhusu ni namna gani naweza kuwa dealer/distributor wa bidhaa za mtandao wa halotel, natanguliza shukrani
sawa nduguNenda ofisini kwao, watakupokea kwa bashasha
Mangi pesa umepata wapi?wanajukwaa naomba muongozo Zaidi ya ili jambo
wanajukwaa naomba muongozo Zaidi ya ili jambo
hahaaa, mkopo.Mangi pesa umepata wapi?
hapo poahahaaa, mkopo.
asante, nilifika ofisini wakaniambia hawajaanza rasmi hii ishu ya dealer ila kuna faida tuu katika kununua mzigo mkubwaNenda ofisini kwao, watakupokea kwa bashasha