Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,650 Reaction score 21,013 Apr 28, 2017 #1 Nimeona tangazo kuhusu app hiyo kuwa naweza uza kitabu. Nimeiinstall ila bahati mbaya hawajaweka contacts. kama kuna mtu anafahamu namna ya kuwasiliana na wamiliki wa hiyo app (Jackson group Tanzania) naomba anijuze.
Nimeona tangazo kuhusu app hiyo kuwa naweza uza kitabu. Nimeiinstall ila bahati mbaya hawajaweka contacts. kama kuna mtu anafahamu namna ya kuwasiliana na wamiliki wa hiyo app (Jackson group Tanzania) naomba anijuze.