mseminari mdogo
JF-Expert Member
- Aug 18, 2011
- 228
- 146
Imegoma inaniambia Sina number iliyo kuwa connected na account yanguHii kitu inafanya kazi n noma inaleta hadi sms za tigo nishawahi jaribu
Imegoma inaniambia Sina number iliyo kuwa connected na account yanguHii kitu inafanya kazi n noma inaleta hadi sms za tigo nishawahi jaribu
Haitrack lain ila inatrack simu, hivyo laini yoyote itakayowekwa ndani ya hiyo simu na calls yoyote itakayopigwa ndivyo vitakavyokuwa trackedNgoja ni jaribu hii mambo kwa kuji trace mwenyewe na line yangu nyingine
Ni lazima usajili simu kwa kufungua account. Nenda google download file linaloitwa mftv2 kisha instal ndani ya simu fata maelekezo ni kitu cha dakika 5 ukiwa na net nzuriImegoma inaniambia Sina number iliyo kuwa connected na account yangu
Hii kitu inafanya kazi n noma inaleta hadi sms za tigo nishawahi jaribu
1.Inabidi uisajili simu sio line, tengeneza email address ambayo itakuwa kama account yako katika hio website.Imegoma inaniambia Sina number iliyo kuwa connected na account yangu