NAWEZAJE KUTUMIA WHATSAPP KWENYE PC?

NAWEZAJE KUTUMIA WHATSAPP KWENYE PC?

Kumtosa mama watoto siyo kitu rahisi kivile i see. Kuta zinaficha mengi kiongozi.
true mkuu nimeshindwa hata kuwaambia washkaji nimekausha nimeshirikisha baadhi ya ndugu wenye vifua vya kiume na wazazi
ni mama wa watoto wangu wa2
 
nimeshasamehe mkuu 7bu nimempa taraka 1 aende kwao nitulize kichwaa kwanza
facebook mbaya sana walianza kutakana huko fb kwa mujibu wa kufunguka kwake alikuwa amezoea kwenda kwenye kibanda chake kukodi cd kinakujaga home kinadai kinafata CD eti waifu kachelewesha eti anadai walifanya mara mbili tu mamaae zake na hasira sanaa
bahati nzuri sijalifanya public maana mtaani ningeaibika dogo ajui km nimemshtukia yaan hata sijui nimpe adhabu ningekuwa enzi zangu kabla sijatundika daluga sasa hivi tungeongea mengne we acha tu kugongewa mkee inauma sana

Pole sana mkuu, mie pia natumia app nyengine inaitwa mobile tracker free kumtrack shemeji yako ila so far sijaona mwenendo mmbaya mpaka sasa.
 
Ha ha haaa!!!! Ya kweli haya au furahisha genge?
Kama kweli basi usiendelee maana utakuja kumuanika shemela.
Labda kajamaa ka banda la video kanapita humu.
 
hongera mkuu ila utakuja kugundua kwa mtu usiemtegemea hapo ndo presha itapanda kilichonipa presha ni kuwa huyo dogo afadhari angejua nwingne usiemjua
alikuwa ba tabia kitaa mtu akimtongoza ananiambia yaan niliacces kiutani kwa majaribio kama simu ikiwa mbari itakubari

haya ndugu naona hayajakukuta
ila kiuhasilia nina heshima mtaan kutokana na nafasi yangu katika dini
n huyo dogo kapuku tu hawezi fika pande hizi na nimetumia lugha ya kificho hawezi kuelewa hata km akipita huku
 
Hahahah wacha nife tu maana nipo distant kwa sasa na kama unavyojua wenzetu huwa hamchelewi!

Experience is the best teacher and time is a healer, endelea mpaka ujue mwisho wake. ha ha haaa!!!!
 
hongera mkuu ila utakuja kugundua kwa mtu usiemtegemea hapo ndo presha itapanda kilichonipa presha ni kuwa huyo dogo afadhari angejua nwingne usiemjua
alikuwa ba tabia kitaa mtu akimtongoza ananiambia yaan niliacces kiutani kwa majaribio kama simu ikiwa mbari itakubari

haya ndugu naona hayajakukuta
ila kiuhasilia nina heshima mtaan kutokana na nafasi yangu katika dini
n huyo dogo kapuku tu hawezi fika pande hizi na nimetumia lugha ya kificho hawezi kuelewa hata km akipita huku

Kipindi nimeweka tu nilinyonya conversation ya simu moja kuna njemba ilikuwa inachombeza ili ikatafune asusa yangu, dogo akawa analega lega staki nataka. Ikabidi niingilie kati na kukemea usheitwani ambao ulikuwa karibia utokee!
Hapo mtu unamuamini kichizi af unakutana na pigo hizo aloooh!
 
Experience is the best teacher and time is a healer, endelea mpaka ujue mwisho wake. ha ha haaa!!!!
Mwisho utakuwa kumpiga chini tu akikiuka masharti ya mkataba wetu
 
nimeshasamehe mkuu 7bu nimempa taraka 1 aende kwao nitulize kichwaa kwanza
facebook mbaya sana walianza kutakana huko fb kwa mujibu wa kufunguka kwake alikuwa amezoea kwenda kwenye kibanda chake kukodi cd kinakujaga home kinadai kinafata CD eti waifu kachelewesha eti anadai walifanya mara mbili tu mamaae zake na hasira sanaa
bahati nzuri sijalifanya public maana mtaani ningeaibika dogo ajui km nimemshtukia yaan hata sijui nimpe adhabu ningekuwa enzi zangu kabla sijatundika daluga sasa hivi tungeongea mengne we acha tu kugongewa mkee inauma sana
Duh bro pole na yalo kukuta wala usijilaumu kabisa mimi naona hio alama ya M/mungu anakuepusha na mengi tu. moja wapo maradhi na kupewa mtoto asie wako na kudhani wako.
 
Back
Top Bottom