Nimejaribu kutumia Bluestacks kwenye PC kwaajili ya whatsapp lakini software hii mara nyingi anasababisha PC kuwa nzito na mara nyingine niki-start bluestacks imekuwa na tabia ya kuzima PC. Hivyo naomba kupewa msaada wa kitaalamu kama kuna uwezekano wa kutumia whatsapp kwanjia rahisi na isiyo na usumbufu.
Asanteni sana.
Asanteni sana.