NAWEZAJE KUTUMIA WHATSAPP KWENYE PC?

NAWEZAJE KUTUMIA WHATSAPP KWENYE PC?

We hujatuliza kichwa mkuu, lazma ujifunze kupokea mawazo tofauti na uliyonayo kichwani. Mi nmeongea kwa fact na sio mazoea kama ulivyofikiri, So far unaonesha una temper sana, jitahidi kucontrol hio hali mkuu!
Underline sentensi yoyote inayoonyesher temper hapo katika post yangu. Rather hujui maana ya temper na itabidi uniombe msamaha kwa kuni misquote... Question mark sio temper..
 
Basi cheki vifaaa vyako, ila usikanushe kitu kama vile unajua kumbe hauwezi kufanya hivyo.

Niwie radhi mkuu maana mi sio miongoni mwa waropokaji, naweza kuelezea process yote hapa bila tatizo. Im sure of what im speaking cause sijasimuliwa kuhusu hilo, nimelifanya mwenyewe more than once.
 
Wasi wasi wako mkuu, mbona jamaa yuko "poa" tu?
Huyu kiongozi wangu ananipima temper yangu... In short asitumie neno temper bse yeye alijaribu kunichallenge na mimi nika hit back.. So you cant call it temper... Hii ni kama debate.. You reply with fact.. Au sio kiongozi?
Temper ni kama ningemtukana au ningemjibu vibaya but so far sijamjibu vibaya nimemjibu kwa kumuuliza maswali tena ya darasa la kwanza.. Ila mimi niliingia tu kwenye mtego wake bse nilikuwa sijajua kuwa anani challenge.. Bingejua ninge skip post yake... But so far sijamjibu vibaya...
 
Ha haa!!! Kaka hii mambo mimi huwa sithubutu kujaribu ..
ni kujishaua tu mkuu yaan bora ningeuchuna lkn hata huvyo nashukuru nisingeyajua yote haya
Ha ha haaa!!!! Tupe experience mkuu.
acha tuu nipo mishe na kilaptop changu hapo nishascan barcode jana yake halafu ujinga waje hata haimjulishi km una mtu mwingne anaona chat zake we zinaingia tu kwako si ndo nikafungua we bwana wewe aliniambia yupo mwezini hiyo jana kumbe katokwa kusuuzwa na kiserengeti boy chake mbaya zaidi ni kadogo cha kitaani tu kanakua nakiona harafu kijamaa kinasifia mauno ya mkewangu demu nae anadai kapigishwa kwata saa nzima eti mimi sioni ndan HAKUNAGA halafu wamepiga kavu sasa

papo hapo PRESHA nikawaisha mapumziko na dripu juu ni kama wiki na nusu au mbili tanguu litokee hilo tukio
sina hata hamu na whatsaap web
 
sina hata na whatsaap web
Kobelo najua unatupiga fix.. Mimi nikikuta hivi siku hio hio namtosa
 
Only a wise person can read whats inside a stupid persons mind...Naomba nikupe ushindi tu mkuu, got other stuffs!
Sasa wewe ndio umeonyesha temper yako..
Sitaki ushindi wako... Ila sio vizuri kuwa na chuki na mimi.. Im very simple and never mind person.. Uwe na amani.. Kama una shida sema nikupigie maombi ya upako..
 
Huyu kiongozi wangu ananipima temper yangu... In short asitumie neno temper bse yeye alijaribu kunichallenge na mimi nika hit back.. So you cant call it temper... Hii ni kama debate.. You reply with fact.. Au sio kiongozi?
Temper ni kama ningemtukana au ningemjibu vibaya but so far sijamjibu vibaya nimemjibu kwa kumuuliza maswali tena ya darasa la kwanza.. Ila mimi niliingia tu kwenye mtego wake bse nilikuwa sijajua kuwa anani challenge.. Bingejua ninge skip post yake... But so far sijamjibu vibaya...

Ndiyo maana "nilisema" tunaamua tu kutokuwa too serious. Ilimradi ufumbuzi wa mada umepatikana basi huku kwingine ni kurahisha genge kwa anayejisikia.
 
true man kama uniamini nipm namba yako nikutumie scrrenshot
hapa nipo kama fala japo kaomba sana msamaha nimemsamehe lkn siwezi kuwa nae tena kuchangia mkee inauma sana kaka hlafu mbaya zaidi nilimuamini sana
Kama myu kaomba msamaha..
Dawa yake ni very simple.. Mpe warning na msamehe. Na usije ukalizungumzia tena hilo suala.. Hata siku akikuchukiza wewe usimkumbushie ..
 
ni kujishaua tu mkuu yaan bora ningeuchuna lkn hata huvyo nashukuru nisingeyajua yote haya

acha tuu nipo mishe na kilaptop changu hapo nishascan barcode jana yake halafu ujinga waje hata haimjulishi km una mtu mwingne anaona chat zake we zinaingia tu kwako si ndo nikafungua we bwana wewe aliniambia yupo mwezini hiyo jana kumbe katokwa kusuuzwa na kiserengeti boy chake mbaya zaidi ni kadogo cha kitaani tu kanakua nakiona harafu kijamaa kinasifia mauno ya mkewangu demu nae anadai kapigishwa kwata saa nzima eti mimi sioni ndan HAKUNAGA halafu wamepiga kavu sasa

papo hapo PRESHA nikawaisha mapumziko na dripu juu ni kama wiki na nusu au mbili tanguu litokee hilo tukio
sina hata hamu na whatsaap web

Weka mbali na watoto huo mtindo wa ku-stalk mwenza wako. Utakufa.
 
Kama myu kaomba msamaha..
Dawa yake ni very simple.. Mpe warning na msamehe. Na usije ukalizungumzia tena hilo suala.. Hata siku akikuchukiza wewe usimkumbushie ..
nimeshasamehe mkuu 7bu nimempa taraka 1 aende kwao nitulize kichwaa kwanza
facebook mbaya sana walianza kutakana huko fb kwa mujibu wa kufunguka kwake alikuwa amezoea kwenda kwenye kibanda chake kukodi cd kinakujaga home kinadai kinafata CD eti waifu kachelewesha eti anadai walifanya mara mbili tu mamaae zake na hasira sanaa
bahati nzuri sijalifanya public maana mtaani ningeaibika dogo ajui km nimemshtukia yaan hata sijui nimpe adhabu ningekuwa enzi zangu kabla sijatundika daluga sasa hivi tungeongea mengne we acha tu kugongewa mkee inauma sana
 
Back
Top Bottom