I-flashhellow wana jamvi naomba mwenye uelewa jinsi ya kurudisha system apps zilizo futwa katka sim aina ya huawei.....nimerajiru ku fanya restore default lakini hiki ndo naletewa na haiendelei kufanya chochote... msaada tafadhali
![]()
inaonekana uliroot simu yako ukapata access ya kuremove bloatware(system apps ) hata mimi liliwahi kunikuta sasa chakufanya ni kutafuta custom rom na kuiflashhellow wana jamvi naomba mwenye uelewa jinsi ya kurudisha system apps zilizo futwa katka sim aina ya huawei.....nimerajiru ku fanya restore default lakini hiki ndo naletewa na haiendelei kufanya chochote... msaada tafadhali
![]()
imaitwaje hiyo app nataka nikwangue baadhi ya apps humunlifuta kupitia app moja nlitoa playstore inaruhusu kufuta system apps ila mara mwisho nkafuta mbaka zisizo futwa