nawezaje kupunguza matiti makubwa

Wewe kapuchi natamani siku moja ni-spend na wewe siku nzima ili uone thamani matiti yako. Wengine tunavyoyahitaji hata usingizi tunapata kimang'amung'amu tu.
 
anaweza kujiita chochote apendacho,kwani akijiita binti au mama ni tabu iko?matiti makubwa yanapendwa na wengine wanafikiri jinsi ya kupunguza .ni mzigo au uanataka nini hasa kutaka matiti madogo.JUA KWA HIYO NI INHERITANCE NA SIO KILA MTU ANAWEZA KUWANAYO HIVYO RINGA NAYO
 

Attachments

  • MAZIWA.jpg
    7.8 KB · Views: 170
jaman let us be concisious coz unaweza kuta ni makubwa alafu yana shape ya KANDA MBILI AU NDALA,, Ilo ni tatizo na yanakosa mvuto!! bt kama ni makubwa na yamejaa vizru,,mboya yanatumika zaidi ya kunyonyesha mtoto,labda ukute jamaa ako ni wakuja ye anaju tu kifo ya mende!!
 
Nadhani ni mwana CCM ambao miaka 45 ni kijana, hivyo Mnunu usishangae, ila kwa maoni yangu naona hana mume ndo maana anataka anonekane binti. no more comments.
 
<br />
<br />

NNunu
Kwa kiswahili kizuri huyu wala hajakosea bado ni binti, akifika miaka hamsini atakuwa BITI, hujasikia kwa BITI Mussa, manake bibi mzee, sasa huyu bado kidogo!
 
<br />
<br />
Afadhari umemwambia mkuu matiti makubwa yana raha yake bwana kwenye majambozi!
 
Dada hakika kama hayaumi afadhali yakubali uyaache kama yalivyo maana umeumbika hivyo na aliye juu, sasa unaingiza uumbaji wako mwenyewe kwa kumuangalia yule aliyeumbika vile Je? yakitokea mengine utafanyaje? ila kama kuna maumivu kachecki maumivu kwa dk atakayefanya ipasavyo sio ubabaishaji ila siokucheza na size ya matiti kwa ajili ya urembo tu uje wewe ni mrembo tu ujue wasiokuwa nayo wanatafuta dawa ya kuyaongeza na ninyi wenyenayo mna......, "take care!"
 
nahisi una ugonjwa wa akili. Tangu una umri wa miaka 25 ulikuwa huyaoni kuwa ni makubwa? Umeolewa shida yako nini? Acha ushamba, wanaokushauri ni wajinga. Kaa na matiti yako ndivyo ulivyo, ridhika na vile ulivyo. Kama mumeo anayependa? Umemuhusisha kwenye hili?
 
Kazi ya Mungu huwa hiana makosa Mungu nmdiye aliyekupa maumbile hayo hivyo haina haja ya kuhangaika mwite atakuitikia na fanya mazoezi ona na madactari watakushauri aina za mazoezi ya matiti
 
JF Doctor,

nina swali kwako,mimi no binto wa miaka 35 ,nimeolewa na nina watoto wawili.Tatizo langu ni kuwa matiti yangu ni makubwa sana ,naomba unisaidie nifanyeje kupunguza matiti yangu kwa kuwa yananikosesha raha
kapuchi; unaweza ukajaribu njia hii: Mafanikio Na Afya Njema: Kupunguza Matiti Makubwa Yawe Madogo - Natural Home Remedies to Decrease Breast Size. Kuna mambo mengi yahusuyo afya ya mwili na akili. Pia ngozi nk. Baadhi ya maradhi pia ya tiba ya vyakula.


 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…