Nawezaje Kupiga simu kutumia Computer !?

Ligogoma

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2010
Posts
3,502
Reaction score
6,460
Habari wadau wa technology!?

Nina moderm ya zantel na vodacom! Moderm ya zantel inaweza kuandika namba na kupiga na pia kupokea calling ikiwa kwenye laptop.

Moderm ya vodacom haina hiyo service ila ningetamani niweze kufanya hivyo kuendana na shughuli zangu.

Je, wadau wa technology kuna namna yoyote ninaweza kufanya ili niweze kupiga na kupokea simu kupitia moderm ya vodacom kwenye laptop?

Nawasilisha kwenu wakuu
 
>> Ndio inawezekana

>> Inatakiwa upate software ya modem ""dashboard"" inayosupport kupiga na kupokea simu

>> Sema modem yako ni ipi , Je ni huawei au zte ? je ni model ipi?

>> Karibu
 
Ni Huawei mkuu, ngaja niitafute hiyo software! Kama ungeweza kusaidia kuweka link yenye uhakika ingekuwa umesaidia sana mkuu!! Maana si unajua internet fake ziko nyingi kwa kuvuruga tu computer za watu.

Nashukuru sana mkuu
 
Back
Top Bottom