Nenda benki kakope dhamana weka majengo ya shuleWakuu naomba msaada hapa tafadhali, nimeanzisha shule ya chekechea, na tayari imeshasajiliwa huku ikiwa na wanafunzi 40,
Sasa malengo Ni kuikuza shule kwa kuongeza wingi WA Madarasa, walimu na ofisi za walimu pamoja na vifaa vyote muhimu vinavyotakiwa katika maswala yote yahusuyo shule.
Sasa naomba kujua naweza pata wap au nitumie njia gani kupata wafadhili?
Shukrani
Watu wanapita kimya kimyaJamani msipite Tu hapa toeni na mawazo yenu,pamoja na ushauri hapa,
Thanks Mkuu ntazingatia ushauri huu piaUfadhiri lazima uandae andiko linalonyesha maono yako yaani unataka katika kipindi cha miaka kadhaa shule yako iwe ya aina gani, na inatoa elimu ya aina gani na kwa watu wa aina gani bila kusahau makundi maalumu kwenye jamii ambao unatakiwa uonyeshe yatanufakaje kwa uwepo wa shule yako
Vinginevyo anza kwa ushauri wa post #3 kama alivyokushauri JFK wabongo ila unaweza ukafikiria pia kuanzisha program ya walimu wa kujitolea kutoka nchi mbalimbali