medrickrobert
Member
- Apr 25, 2017
- 58
- 9
mimi ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka 2016 na nilichukua mchepuo wa sayansi na nilipata daraja la pili(division 2) nilichaguliwa kujiunga na sekondari lakin ckuweza kupata wa kuniendeleza kimasomo... in short ni yatima..