Naomba mwenye Ujuzi kuhusu haya mambo anisaidie uelewa nimesajili Jina la Biashara Brela kwa Business activity 5920 - Sound recording and music publishing activities Main na 4791 - Retail sale via mail order houses or via Internet naomba kufahamishwa hii inaangua kundi A au Kundi B, kama ni A inaangukia category gani hapa? na Kama ni B pia ni category gani hapaASANTE