mtoto wa mamantilie
New Member
- Feb 9, 2026
- 1
- 0
Naomba mwenye Ujuzi kuhusu haya mambo anisaidie uelewa
nimesajili Jina la Biashara Brela kwa Business activity 5920 - Sound recording and music publishing activities Main na 4791 - Retail sale via mail order houses or via Internet naomba kufahamishwa hii inaangua kundi A au Kundi B, kama ni A inaangukia category gani hapa?
na Kama ni B pia ni category gani hapa
ASANTE