Bepari la Kinyambo
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 1,223
- 1,523
Wakuu nawezaje kufikisha uzito wa kilo 100 tu ndani ya mwezi kwasasa nina kg 89
Unatafuta kifo, uzito unaendana na umri na kimo.Wakuu nawezaje kufikisha uzito wa kilo 100 tu ndani ya mwezi kwasasa nina kg 89
Una ngapi mrembo?Mimi nahitaji kupunguza aisee nimeongezeka hadi sio poa!!
Sasa mauzito yote hayo ya nn mkuu , au mpenzi wako kakwambia anapenda uwe bongeWakuu nawezaje kufikisha uzito wa kilo 100 tu ndani ya mwezi kwasasa nina kg 89
Dah Dunia sio fea kabisaWakuu nawezaje kufikisha uzito wa kilo 100 tu ndani ya mwezi kwasasa nina kg 89